Msisahau swala la kurudia written interview,Wakati ulishapita oral interview,ikiwa ulifeli oral interview basi urudie hatua hiyo.Mpaka pale utakapo ingia Database.Kumbuka nauli za sisi kwenda kwenye mikando ni kubwa mno.
Mimi nilitegemea wangejiongeza ,kitendo Cha mimi kupass written interview na kufika oral kilikuwa ni ushahidi tosha kuwa ninaweza kazi.
Wanasomeaga special needs.Wafundisha wenye uhitaji maalumu kama:- viziwi ,vipofu n.k
So wanakuwa wanajua Alama zote za wenyewe ulemavu.
Chuo sikupata Mkopo,licha ya kuomba na kukata rufaa.Wazazi wangu wamepambana hivyo hivyo hadi nikamaliza.Siyo kwamba Wana hela au ni matajiri.walijitoa kwenye hilo wakitegemea nitapa kazi nijitegemee.
Asante San,siasa nyingi mno kwenye hivyo vitengo, mimi mpaka sasa sijapata hizo nafasi wanazosema wanatoa,licha ya kufika hadi oral interview ya Utumishi (PRSS) .Watu wanatutumia Kupiga hela.Kama vipo mimi nipo hapa wanisaidie...
Asante sana.Yaani ipo hivi ,ili upate kipaumbele Kwa mwenye ulemavu pindi unapo fika oral interview za Utumishi (PRSS).Inabidi kwenye oral interview upate 50% na zaidi ,isishuke chini ya hapo.Sasa.mimi nilipata chini ya hizo alama ,so wanasema siwezi kupata haki ya Ajira.
Kwa mtu mwenye...
Mimi nina disability ya kusikia,miguu na kutoona mbali Kwa uhalisia.Nimefanikiwa kupata shahada ya kwanza ya Takwimu.Kwenye maisha yangu ya Darasani ,sikuwahi kuandika sababu simsikii lecture Wala kuona ubaoni.Embu fikiria mtu unasoma Pure mathematics, then una hali kama yangu na bado una upass...
Aisee! Pole sana,tuombe mambo yawe mazuri huko kwenye PDF [emoji1787],ikiwezekana Kila aliyefikia hii oral ya MDAs na LGAs apate kazi.Binafsi Nina disability ya kusikia na miguu [emoji91],sijui kama PSRS watanikumbuka[emoji24][emoji24][emoji24]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.