Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,791
Vipi tena MwanaCCM mwenzangu?Hapa nchini hatuheshimu kabisa taaluma.
Wenye kula keki ni wanasiasa tu.
Kila siku yanaibuka misamiati mipya kujustify kula kwao.
Sasa hivi kuna kitu kinaitwa maridhiano huu ndio msamiati mpya kwa sasa.
Kama taaluma zingeheshimika usingekuta watu wanasoma bila kujua kama ataweza kujiajiri au kuajiriwa.
Ila hapa Tanzania unakuta mpaka mwenye PHD hana uhakika na maisha.

