Sijui ni Kagera hipi inayozungumziwa hapa? Kama ni Kagera ninayoifahamu mm profesa katupiga change la macho. Au labda watu wanaijaji Kagera kwa kuangalia mji wa bukoba? Trust me ukiizunguka Kagera kwa ndani namanisha vijijini uwezi kuamini unachokiona. Kuna watu wanaushi Dar wengine Nje ya Nchi...
Can u imagine yani familia ya watu wazima sita wenye vigezo vya kupiga kura nikiwemo mm binafsi tena tukiwa tumeandikishwa Kituo kimoja. Uzuri ata kwenye Ile karatasi ya kupiga kura wangebadilisha position ya mungombea wetu sisi tulikuwa tunafahamu atakuwa nafasi gani au kama sio nafasi basi...
Nakumbuka nilikuwa kijijini baada ya UCHAGUZI wa mwaka jana na kura kuanza kuhesabiwa ghafla siku ya kwanza yakuhesabu kura mtandao wa internet ukawa haupatikani nikaona labda itakuwa nitatizo la kiufundi. Aisee tumeenda siku ya pili mpaka wiki inapita no internet. Kuja kushtuka jiwe kaisha...
Hahahahhhh......nimecheka kishenzi ila kweli kabisa yani ata mama samia akipita awachalaze, waziri mkuu naye akipita awatie makofi watoto wale ni wapumbavu kabisa.
Angewapa likizo ya mwezi mzima kabisa. Ila wale watoto ni mbuzi wa kijani kabisa. Hivi unaanzaje kuchoma kwa makusudi sehemu unayolala. Ningekuwa mm ningewasweka ndani kabisa.
Ata bukoba nayo kijografia imekaa vibaya wakati mwingine unawaza eneo zuri la kujenga stendi ulipati. Kyakairabwa pamekaa kushoto mno kwa wasafiri wanaotokea kahororo, kashai na buhembe. Ukisema stendi ipelekwe kibeta uko nako kumekaa kushoto. Hapa mjini katikati sioni open space yoyote...
Pole yako mm nimeanza kunywa pombe nikiwa darasa la saba. Ila kumbuka connection zote za maisha zinapatikana bar sasa wewe saa kumi kamili jioni umeishaingia ndani upo na mke na watoto, sijui upo kijiwe cha kahawa hzo dili utazipatia wapi?
Alafu uwa najiuliza hv kwa nn watu wasiotumia pombe awajatupiga gap kubwa kimaisha maana walevi kusipendi laki kwa siku niswala la kawaida mno sasa tukija kwenye swala la maendeleo unakuta sisi walevi tumewapiga gap kubwa wale ambao sio wanywaji kiasi kwamba kuja kwako kuomba umkope ata elfu...
Ata asingewatosa yeye mwenyewe kipindi hicho atakuwa busy na kitumbua chake yanini aangaike na wenzake. Kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake full stop.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.