Warithi wa Ole Gunnar waanza kutajwa Manchester United

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,446
LONDON, ENGLAND. Balaa zito. Ole Gunnar Solskjaer kwa sasa hana pakujificha baada ya mashabiki wa timu anayoinoa, Manchester United kupoteza imani na kutaka afukuzwe tu kabla ya hali haijawa mbaya zaidi.

Man United ilikumbana na kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa West Ham United Jumapili iliyopita, kichapo ambacho kimewafanya kuachwa pointi 10 na vinara Liverpool kwenye msimamo wa Ligi Kuu England baada ya kuchezwa mechi sita tu.

Lakini, kipigo hicho kimepeleka taswira mbaya kwa upande wake baada ya kuibuka na ushindi mara tatu tu katika mechi 13 za mwisho alizocheza kwenye ligi.

Rekodi ya ovyo na mashabiki wanadhani sasa umefika wakati wa kocha huyo, aliyekuwa shujaa wao enzi hizo, kufutwa tu kazi.

Staa wa zamani wa timu hiyo, Patrice Evra, aliyekuwa na bosi Ed Woodward wakitazama mechi hiyo ya kipigo, alisema sasa umefika wakati wa kukukubali yote ili kuokoa timu. Rekodi za Ole kwenye mechi za ligi zinatia wasiwasi mkubwa.

Akiwa kocha kwenye kikosi hicho, mechi 45 alizocheza kwenye ligi, ameshinda 17, sare tisa na kuchapwa mara 19. Hiyo ina maana Ole amepoteza mechi nyingi kuliko alizoshinda. Ameshinda pia mabao 61, lakini akifunga mabao 73. Hali ni mbaya.

Kutokana na hilo, tayari imetolewa orodha ya makocha ambao wanaweza kuja kuchukua nafasi yake kuinusuru Man United.

ZINEDINE ZIDANE.
Zidane ulikuwa mpango wa Man United kabla hata hajarudi zake Real Madrid. Pengine kocha huyo yupo kwenye presha kuwa huko Bernabeu kwa sasa, lakini anaaminika kuwa na uzoefu mkubwa ukilinganisha na Ole. Kocha huyo aliifanya Real Madrid kushinda mataji matatu ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa misimu mfululizo, jambo linalomfanya kuwa na uzoefu wa kushinda mataji kuliko Solskjaer.

THOMAS TUCHEL.
Kocha mbunifu anayefanya mambo yake huko Paris Saint-Germain. Kitendo cha kuweza tu kuwamiliki wachezaji mastaa kama Neymar, Kylian Mbappe, Edinson Cavani na mastaa wengine kwenye kikosi chake huo ni ukomavu tofauti kabisa ambao unamfanya kuwa chaguo sahihi na kutua huko Old Trafford. Kunasa huduma ya Tuchel itakuwa kama Liverpool walipomchukua Jurgen Klopp, kuna kitu atakuja kukifanya Man United.

MAURICIO POCHETTINO
Kocha wa Tottenham Hotspur, Mauricio Pochettino kupata dili la kwenda kuinoa Man United bila ya shaka hiyo itakuwa kazi ya ndoto zake. Kabla ya Ole kupewa kazi, Pochettino alipewa nafasi ya kwenda kuinoa timu hiyo, lakini sasa Muargentina huyo anatazamwa kama mtu wa kwenda kuokoa jahazi.

MASSIMILIANO ALLEGRI
Moja ya makocha bora kabisa wasiokuwa na kazi kwa sasabaada ya kuachana na Juventus mwishoni mwa msimu uliopita, lakini kazi yake haina mjadala. Ni kocha aliyeonyesha anaweza kutokana na mafanikio aliyopata Juventus na AC Milan, huku akiwa na uzoefu na kucheza soka tamu ukilinganisha na Solskjaer. Ni chaguo sahihi kama atatua Old Trafford.

LAURENT BLANC.
Kwa muda mrefu, Mfaransa Blanc amekuwa hana kazi. Lakini, kocha huyo wakati wa enzi zake akiwa mchezaji, alicheza Man United, hivyo bila ya shaka anafahamu utamaduni wa timu hiyo. Blanc pia amekuwa na uzoefu wa kubeba mataji, baada ya kufanya hivyo akiwa PSG na Bordeaux alikonyakua ubingwa wa Ligue 1 kabla ya kupata ukomavu zaidi wa kuitoa timu ya taifa ya Ufaransa. Ana rekodi nzuri kuliko Ole.

MAKOCHA WENGINE
Orodha ya makocha ambao wanadaiwa kwamba watakuwa na mambo tofauti watakapotua Old Trafford ni pamoja na Arsene Wenger, ambaye hana kazi kwa sasa, Erik ten Hag wa Ajax, Julian Nagelsmann wa RB Leipzig, Jesse Marsch wa RB Salzburg na Brendan Rodgers wa Leicester City.
 
jambo lolote likifikia climax lazima litashuka tu, hapo hata ateuliwe nani haiwezi kukaa sawa it will take some years!
 
Mtaandika sana pale united bila dof hakuna jipya maana kila kocha atakuja na falsafa yake na kupelekea timu kustruggle kutoka mfumo wa kocha alietimuliwa kwenda sawa na mfumo wa kocha mpya
Ni dof tu ndie ataeweza zuia hili kwa kusajili wachezaji wanaoendana na falsafa ya united.....
 
Timu yangu kwa sasa inasikitisha, yaan hata ukienda kibanda umiza unapewa tv ya chogo kwamba hatuna mvuto tena
Hapo timu apewe tuchel au Pochettino
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom