Recent content by mankwe11

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    [/color]blue@[hellow][/color]
  2. M

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Uko sawa kabisa ndugu mana impact aliyonayo mbowe kma Mwenyekiti wa chama na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na mbunge wa hai anayo mamlaka inayomsimamia kisheria siyo anamwita kama anaita mkewe amletee maji ya kunywa busara itumike asee mbowe anawatu milioni kadha chini yake kama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Ya Ngwajima itakuwa funiko bovu naitamani
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wangapi hatujawahi kuchepuka katika mahusiano yetu?

    Mimi na muheshimu Mungu hivyo kuchepuka kwangu ni mwiko
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani umeshindwa kumuita Mh. Rais Dr. J Magufuli?

    Acheni unafiki mbona mnajisahau neno Bwana ni sawa na neno Mr kwani ni tusi?nyerere alisema viongozi na watawala waitwe Ndugu ili kuondoa miungu watu MF Ndugu John Pombe Magufuli hii hamuondolei utu wake wala heshima yake
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

    Hahahahaha eti hakuna baunsa mbele ya njaa umeua
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimegundua mwanamke ninayeishi naye aliwahi kuolewa kanisani

    Aende mahakamani adai talaka funga ndoa bomani songa mbele kama anakujali endeleeni na maisha yenu mlee mtoto wenu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha naomba ufafanuzi utozaji kodi kwenye fungu la kumi!

    Na soon or later atakipata vitu vingine haviitaji ujuaji fungu la kumi ajapanga mwanadam hapa duniani imesema Biblia takatifu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Nyimbo Ya Darassa Ina Nini Cha Ajabu?

    Mwache asinzie na fegi achome kibanda
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Nyimbo Ya Darassa Ina Nini Cha Ajabu?

    Kazi juu ya kazi yani bamba to bamba
  11. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: CCM kitakuwa chama cha maskini na wanyonge - Bashe: Umaskini sio sifa

    Bashe anajielewa sana huyu jamaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwigulu Nchemba zamani akiwa anachunga ng'ombe, huwezi amini

    Kwani kazaliwa lini hadi useme hapakuwa na Picha za rangi?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwigulu Nchemba zamani akiwa anachunga ng'ombe, huwezi amini

    Kwani Mwigulu Wa mwaka gani mana tuanzie hapo kabla ujasema hapakuwa na Picha za rangi mana kama sikosei ni Wa 74 au na 75
  14. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    R.I.P Mzee sita ulisimamia ukweli na ilipelekea kuchukiwa ila kuna siku ukweli utasimama hata kama haupo tena
  15. M

    JamiiForums Tanzania STORY: SEHEMU YA KWANZA: MY BLOOD IS GREEN, YELLOW, BLUE AND BLACK.

    Iko poa ndugu
Back
Top Bottom