Recent content by mankafaraja

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Askari Polisi akawa Mwandishi wa Gazeti la Uhuru?

    Nimewaza kama wewe....kuwa no mwanachuo so yupo field
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tabasamu la Tulia

    Kwa muda mrefu sana walikaa wanaume na wanawake hatukushtika sasa mbona wewe unatia shaka?
  3. M

    JamiiForums Tanzania NMB Mobile haipatikani

    Ni kweli nimejaribu kutuma pesa imekataa kama three times
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya alizeti Sasa yanashuka bei

    Umenifanya nicheke peke yangu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wahindi wengi huwa na roho mbaya?

    Nilifanyakazi nao sasa mmoja wao tuliyekuwa naye section moja ni ndugu wa supervisor sasa kwavile hajui kiswahili sisi tulikuwa tunapiga story zetu kiswahili tunacheka yeye akawa anahisi tunamsema akawa anaset simu anaturekodi kisha anakwenda kwa secretary kuomba translation.siku moja mmoja wet...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani aliyefariki ulikuwa unamkubali sana?

    Sure Alifia uwanjani
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wanapukutika kwa Corona jamani

    Wanapaswa kutubu na kutuomba radhi maana walitudharau sana na kusahau kuwa Mungu yupo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Ila alifahamika zaidi kwenye chem
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

    Prof.Ngwale hahaaaa ..alikuwa akisema wakilala kitandani na make wake zinalala degree saba
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Tumbo la kuhara safarini kwenye basi la abiria

    Tulitoka safari ya kikazi from Singida to Dsm sote pamoja tulikuwa kwenye kazi ya pamoja kwenye hotel fulani na tulipoondoka tulikodi Costa . Tumbo liliana mtu mmoja baadae wa pili kisha bus zima mi kuhara tuu yule dereva hatutusahau na hayo mazingira tulikopita wanavijiji mtusamehe...
  11. M

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Card yangu ilimezwa ijumaa asubuhi nikiwa katia harakati za kutoa pesa nikalipe ada ya mtoto pale Nmb Ubungo wale wahudu wawili pale mhuduma kwa mteja walijitahidi kunisaidia kuifutilia card yangu kule ndani bila mafanikio huwezi amnini sikupewa ile card mpaka nimeondoka pale saa tisa jioni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vichwa bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania nje ya siasa

    Mkurugenzi wa APE (book reviews)
Back
Top Bottom