Kabisa lakini nichogundua bado hawajapata elimu ya fedha ..wanaonufaika ni wakopesha pesa ..msimu mmoja mtu anakopa zaidi ya mil 100 akilipwa mil 120 zinaishiankulipa madeni hata hela ya kununua mbolea hana anajikuta vyama vya ushirika ,bank kote anatkiwa kulipa anabaki hana kitu.
Kijiji gani unazungumzia kwanza..aisee kuna wilaya moja inaitwa Mbinga kuna vijana wanamiliki pesa buana ..ila hawajui matumizi ya pesa kubadili maisha yao(siwapangi)physically na pesa wanazomiliki tofarent kabisa ..nilshangaa nilipofika kule milioni 10 wanaitamka kama buku tu pesa ya kahawa...
Hii yote ni inasababishwa na ile igo ya kiume while kuna mambo unaweza fanya kuepusha gogoro..Mungu anijalie nowakuze wanangu wa kiume wakue katika misingi ya kujitegemea bila kujali kazi za kike au kiume..
Na hii inaleta shida kwenye ndoa pale me anapotaka afanyiwe kila kitu na mkewe hata...
Faida kwa mitungi midogo inarange kuanzia 2000-2500 (24500 taifa,Lake unauza 27000) oryx 25500 unabadilisha kwa 28000) kila mteja anapochange mtungi na kwa mitungi mikubwa inafaida ya elf 5000
Hivi kuna mtu alishawahi kuomba PESA yake NSsf kwa njia ya ONLINE na akapata bila kupitia kwa dalali?niliomba ikawa rejected nakoelekea nahisi kutafuta dalali nimpe chake maana sielewi nimekosea wapi
Hiyo inatokana kutostaafu mapema akazoea kitaa akiwa na nguvu anasubiri mpaka 60 ngaaaa..watumishi staafuni mapema.mfanye shughuli zenu za kuwaingizia kipato mkiwa na nguvu ..baada ya hapo ni stress na kuona ushachelewa na hakuna hajja ya kujisumbukia unaishi kusubiri kifoo..kufa hufi mapeema...
Hivi inakuaje mtu anaomba mafao yake kwa njia ya mfumo majibu yanarudi REJACTED sababu hasa huwa ni nini?alqfu sio mata moja kusikia ukituma maombi online huwa yanazingua ila ukimpa mfanyakazi wao hapo akufanyie mchakato ni faster ndani ya wiki 3 unapata mziho na 10 %unampa ..ila urasimu..
Niliwahi shuhudia kanisa moja wakibatiza waumini wake ..wale wabatizwa walikuwa kakibadilishia nguo chooni (sio wash room maaana kulikuwa kuchafu mno)niliumia kwa kitendo kile while kuna nyumba ya mchungaji kando ya eneo wanalobatizia,kuna nyumba ya wageni wa kanisa jirani..nilimuuliza mmoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.