Recent content by manjati

  1. M

    Natafuta mume awe muislam na anayetokea Tanga

    Njoo nikupe wa kwangu ana miaka 36 ni muislam na anatoka tanga:):)
  2. M

    Dk magufuli, nimekuahidi lini kukupa kura yangu?

    Ya kwako itaharibika hahahaha
  3. M

    Ahadi ni deni lakini sio kwenye mapenzi

    duh... kwa upande mmoja amekosea.. but pia naona kama atamwambia ukweli na kumrudishia pesa atakua amecheza fea play.. ila duh...
  4. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mr adam kama unauwezo wa kufika tamisemi ni vema ukaenda tamisemi fasta
  5. M

    Nifanye biashara gani kwa mtaji wa 2m

    Kwa mtazamo wangu uamuzi wa aina ya biashara unategemea vitu vingi sana...mfano.. Watu wanaokuzunguka au wanaozunguka eneo unalotaka kufanya biashara Hobi yako ww unaetaka kufanya biashara na aina ya watu unaotaka kuwawekea biashara Upatikanaji wa hy bidha unayotaka kuifanyia biashara Ujuzi wako...
  6. M

    Ushuhuda: Aliniroga uume ukashindwa kusimama siku ya honeymoon

    Mungu anajua.. Ila umemkosea mno mwanao
Back
Top Bottom