Recent content by ManInside

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi jamaa yangu anatoka na mwanafunzi, nimeshangaa sana

    Labda kama i am missing a point in your story ila jamaa kakuchukulia poa, nakujaje kugonge mlupo nyumbani kwako?? Hayo ni madharau, afu kama na wewe ulimkaushia na wewe basi ulizingua, maana kuna vitu vya kuvichukulia poa na kuna vitu si vya kuchukulia poa kabisa
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hatimizi majukumu yake ya nyumbani ipasavyo

    Pole mdau, ila hata tukikushauri hapa ni post facto, maana ameshakua mke. Haya ulitakiwa utuulize kabla hujamuoa. Pole ila nna imani kuna wadau watakuja na mchango chanya. Ilinichukua muda sana kupata mke kwa kua nlikua naangalia sana haya mambo mpaka wengine waliniita Mr Perfect, mimi naboreka...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kanikimbia

    Mzee hizo ni drama za kawaida za wanawake, mchukulie poa ingawa kwa vile vinavokukwaza mchane ukweli kuwa hupendezwi navyo. Mahusiano ni kuongea, kitu umekipenda sema, kitu hujakipenda sema.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla ya kuoa ni mambo gani mnatakiwa kuzingatia wewe na mchumba wako

    Haina formula hii mambo mkuu.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

    Kuwaombea heri tu maana kuachana si kugombana, One man's trash is another man's treasure. Na kama wao wananiombea shari, kimpango wao.... dua la kuku halimpati mwewe. Potelea pote.....
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake! Wanawake!

    Kuna aina ya utongozaji huwa unawaturn off wanawake hvo anakua anataka akukimbize pasipo kukuoffend anatumia weakness yako, ambayo ndo hyo sasa. So cha muhimu jiongeze, temana nae, Akiwa na nia ama akiwa kakuelewa hawez kuanza na invoice
  7. M

    JamiiForums Tanzania Inanifikirisha sanaa!

    Usichoelewa hapo ni nini blaza, maana ake kakufungia vioo...... au mpaka akwambia kwa maneno useme ana madharau?? JIONGEZE, temana nae.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania House girl kanifichia siri, sijui nimpe zawadi gani?

    Bado ilikua siku ya 39....... subiri kwa 40 za mwizi ndo utajua hujui.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanikasirikia kisa sijaenda kulala kwake

    Tunaomba kwanza kujua umri wa huyo mtu wako....... maana hizo drama zimekaa kitoto sana.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    Pole sana mdau, cha kwanza kwa namna yoyote ile na sababu yoyote ile kupigwa hakuvumiliki. Wewe sio mtoto mdogo. Ushauri wangu, ondoka ukaanze maisha yako upya. Usiogope nini watu watasema ila ni kwa ajili yako. Pili kama moja ya wachangiaji alivosema hapo juu, usikurupuke kuingia tena kwenye...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke

    Kuna wadada ni washikaji sana na wako njema kiuchumi and everything, they just like company wa wana kuliko wadada wenzio, sababu kuu ikiwa ni drama za mabinti wenzao. Nadhani nsikulaumu mtoa mada hapa bali nilaumu malezi yako, ila nachojua mimi urafiki wa mwanamke na mwanaume upo na hauna...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ndoa ina umuhimu gani zama hizi za dunia ya utandawazi?

    Nimecomment juu ya kuchakatana maana ndo mada iliyokua juu ya meza, angeongelea wizi ningecomment za same juu ya wizi au dhambi yoyote tajwa. My bottom line is, ukijiona unafanya dhambi yoyote na unaona uko poa tu na dhamira haikusuti ujue, hauna uwepo wa Mungu/Roho Mtakatifu ndani yako.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Angalizo kwa wadada, kuna dawa hatari ya kuwapata bila kuwatongoza

    Nshaliwa sana hela zangu na wazee wa story hizi miaka hyo.......... haifanyi kazi yoyote. Uchawi cheda tu.......... Labda sana sana na HORNY GOAT :D
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshindwa namna ya kumsaidia. Ingawa naumia sana kwa hali anayonisimulia

    Pole sana mkuu na pole kwa binti, nadhani atulie wakat utafikia tu as long as wewe hakuna ulichofanya. Shida yake anafanya relative comparison kuwa mbona rfk ake gani na gani wameolewa yeye hajaolewa. Na hilo ni kosa la watu wengi, kila mtu ana profile........ afocus kwenye lane yale tu na...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ndoa ina umuhimu gani zama hizi za dunia ya utandawazi?

    Kwenye kuchakatana kuna mambo mengi sana ya ulimwengu mwingine hutokea, ukiona kwako kuchakata ni ishu tu kama kutema mate chini just know huna Roho Mtakatifu/uwepo wa Mungu ndani yako, yaan huna tofauti na mnyama. So ndoa ni muhimu......... Ukishindwa kabisa acha na kuchakata.
Back
Top Bottom