Kanikasirikia kisa sijaenda kulala kwake

Zero IQ nimesoma faster sana na nimeona upo sahihi kabisa kukataa kwenda kulala kwake
Kwa asilimia hizo 25% kodi yako ipo mkuu? Kama ipo basi kheri ila kama siyo usiende hapo mahali
 
Huyu mpenzi wangu sijui ana shida gani? Yuko na kazi zake kapanga mahala flani hivi. Kuanzia tuanze mahusiano ni mara chache tu ndio yeye huja kulala kwangu ila mara zote anataka mimi ndio nitoke niende kulala kwake.
Yaani wewe kesi ya mtoto wa mjeda imeisha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom