House girl kanifichia siri, sijui nimpe zawadi gani?

Kipindi nipo house boy kijana wa usafi, kusafisha maua, kuosha gari na nakadhalika mwajiri wangu alikuwa anapenda sana kusafiri na mkewe kama ndondocha.

Nyumba alikuwa anaachiwa mdogo wa mke dada wa mujini. Basi nilikuwa nakula mtoto wa muajiri wangu alikuwa kamaliza chuo ,na mwengine form 3 wakati huo alikuwa day bado house girl wao nilikuwa nakula na yule shemeji wa mwajiri wangu ..na walikuwa hawajuani basi niliona dunia yote yangu.

So hivi vitu ni two way link ...
 
Kwema wakubwa?

Wife alisafiri kama week hivi imepita..home akaniacha mimi na dada wa kazi. Sasa me toka juzi nilikuwa silali home, nilikuwa nalala kwa mchepuko wangu flani hivi hapa mtaani. Nilikuwa narudi home asubuhi, so kumbe nahisi wife ni kama alikuwa kaweka mtego.


Hii ina-prove kweli walio oa wana ulinzi thabiti.Imagine sasa mke kasafiri kidogo tuu ni kama ameacha goli tupu.

Mungu atusaidie wanaume turidhike na ndoa zetu tuuchukie uzinzi.

Huenda pia naye mkeo huwa anafichiwa siri zake na housegirl wenu.
 
Bora waif wako anamwacha hause gel uyu wangu hata akienda kwao sku mbil anam beba na hous grl ua na mind sana sema nakaza kiume tu
Anakupenda na anaokoa ndoa yake, hata mimi huwa akisafiri huwa namuomba ambebe tu binti wa kazi. manake pombe zina balaa lake na zenyewe.
 
Siku moja wife aliniambia hubby hunikomeshi kua na mchepuko! Utajipa stress za bure yule mwanamke hana muda wa uvumilivu kutoka nkwako kama nilionao mimi.

Mkeo akitaka kitu lazima umpe usipompa anakwenda kwa mtu mwingine na hana mpango na wewe! Kwani wakati unaoa ulilazimishwa!? Maongezi haya yalikua ya kawaida tu na sio kama aliniona au kuhisi Mimi sijawahi cheat mke wangu tokea u chumba hadi leo 13 yrs. kitu kimoja wanaume we zangu save energy zitumie na mkeo!

Kuchepuka inaonyesha ni jinsi gani haujui unachotaka maishani! Kama niamke ametulia na anakupa unachotaka unapooa tulia na mkeo!
 
Aiseee Semeni yote ila nyumbani kwetu ndo walikua wanaongoza kuleta maids wabovu walikua wanakuja wabaya mpaka nkahisi sio watanzania wale maids sijui walikua wanawatoa wapii unatoka zako shule likizo unasema labda ntakuta mwenye afadhal unakuta wote watoto wa remi ongala
 
Aiseee Semeni yote ila nyumbani kwetu ndo walikua wanaongoza kuleta maids wabovu walikua wanakuja wabaya mpaka nkahisi sio watanzania wale maids sijui walikua wanawatoa wapii unatoka zako shule likizo unasema labda ntakuta mwenye afadhal unakuta wote watoto wa remi ongala

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom