Madhumuni ya mtihani si kupima kumbukumbu tu na hatutakiwi kusheherekea namba tu kama taifa, nadhani muhimu zaidi ni kupima na kusheherekea kuongezeka kwa ufahamu na uwezo wa kufikiri na kuamua wa wanafunzi. Kuna wakati (nadhani mwaka juzi baadhi ya watoto waliochaguliwa form one walikuwa...
Habari hii ina makosa mawili, kosa la kimaudhui na la kimfumo:
Kwanza hakuna tariff 0 wala 1: makundi ya tariff ya tanesco ni D1, T1, T2, T3-MV na T3-HV. Pili mfumo wa Tanesco wa bill mmoja tu wa kitaifa haiwezekani mita ziwe kwenye tariff moja halafu bei zitofautiane. Hata regulator wao, EWURA...
Huwezi kuokoa ukiwa kwenye janga, lazima wewe mwenyewe uwe salama, nje ya janga ndipo uweze kuokoa. Ila sijui kama kamanda aliruka kwa ajili hiyo, inawezekana ni woga!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.