Recent content by Mangungu

  1. Mangungu

    JamiiForums Tanzania Watu waliotajwa zaidi kwenye nyimbo za kikongo

    Jose Kongolu FBI au Sadam Misele! ,alishafariki zamani sana! Ni mtoto wa Mzee Mobutu! Alikuwa anaimbwa sana JB Mpiana! Alikufa kwa gitaa la Dali Kimoko
  2. Mangungu

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

    Sure uko sahihi mkuu! Lakini nimecheka sana kwamba vikao hadi 30 wakae ndiyo watoe maamuzi!
  3. Mangungu

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

    Inategemea na sehemu! Kuna siku Magu alimwambia aliyewahi kuwa Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jonh Mbungo,kwamba unajua naweza kung'oa hizo nyota zako! Mkasa ulikua kwamba,Magu alipewa taarifa za ujenzi wa nyumba za TAKUKURU kuwa zipo chini ya kiwango,lakini Mkuu wa TAKUKURU hana taarifa na...
  4. Mangungu

    JamiiForums Tanzania Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

    JK na Mkapa walipoumwa,mbona hawakwenda India?? JK alienda zake Marekani na Mkapa akaenda zake Uswiswi India kuna shida
  5. Mangungu

    JamiiForums Tanzania Nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa, nini tatizo??

    Check kipimo cha H-pirol! Huyu mdudu ni noma sana
  6. Mangungu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kocha Sven-Goran Eriksson amefariki Dunia

    Huyu kocha alileta mapinduzi makubwa sana kwenye soka la timu ya Taifa ya Uingereza
  7. Mangungu

    JamiiForums Tanzania KERO;PESA kuchelewa kusoma UTT AMIS

    Ni kweli,inawezekana cha msingi nikupeleka maoni kwao wao wenyewe.... Lakini mimi mara nyingi huwa nikipata kijisalio,ambacho badala yakukifyeka kwenye unnecessary matumizi,hua natupia kwa njia ya simu,wanarudisha taarifa mzigo wamepokea,lakini unakuja kusoma baada ya siku moja,kitu ambacho mimi...
  8. Mangungu

    JamiiForums Tanzania KERO;PESA kuchelewa kusoma UTT AMIS

    Wateja ni wengi sana kaka, hua naweka kijisalio kwa njia ya simu, hua inachukua siku moja kusoma kwenye account yangu,wala usiwe na shaka... Pesa zako zipo sehumu salama kabisa
  9. Mangungu

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Manji alinambia wanamuonea, nikamshauri akae kimya kwani yatapita tu

    Rekebisha bandiko lako! Kikwete kaanza kuwa Naibu Waziri mwaka 1988 na siyo 1993
  10. Mangungu

    JamiiForums Tanzania Naona January kama ndiye Rais anayefuata hivi!

    Kwanza hujui hata unachoandika January Makamba,mbio za urais 2015 aliishia 5 bora na wala siyo tatu bora! Tatu bora alikua 1. Dkt John Pombe Joseph Magufuli 2. Dkt Asha Rose Migiro 3. Balozi Amina Ally! Pia Mzee Moses Nauye alikua na cheo cha Brigedia hadi mauti yake na wala siyo Luteni!
  11. Mangungu

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya inatakiwa kwa hali na mali

    Habarini za humu ndani ndugu zangu Mimi kama ni mwana Jamii Forom, tena mwenyeji wa muda mrefu sana humu ndani, naomba nami nichangie mawazo yangu hasa kwenye Tanzania tuitakayo kwa ajiri ya kizazi kilichopo na kijacho. 1. Katiba mpya itaweza kuja na mwarobaini hasa kwa Rais aliyepo...
  12. Mangungu

    JamiiForums Tanzania Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?

    Ukitaka Ban za haraka humu ndani,diss suala la mashoga nakutoa vitisho kwao! Unakula Ban haraka sana
  13. Mangungu

    JamiiForums Tanzania Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    Hivi na wewe kweli, yale majibu ya Iran kwa Israel mbona ni mambo yakitoto sana??? Nilidhani Iran angejibu kwa mapigo ya maana, Kila siku Israel anaenda Iran au kwenye maeneo ya Iran, Nchi Jirani anauwa maofisa wa Iran nakuondoka.... Iran na yeye auwe hata General mmoja kutoka Israel basi
  14. Mangungu

    JamiiForums Tanzania 'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

    Gari za Gavoo hazina bima wala hazilipiwi kodi pindi zinapotoka huko zilikoagizwa
  15. Mangungu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Kifo cha huyu jamaa! Kiliniacha hoi sana! Naweza sema kwamba alikua na hili tatizo la figo muda kidogo,lakini nakumbuka kitu kimoja! Kuna siku Magufuli akiwa Rais,alisema Makonda na Ruge ni vijana wake,wapatane wakae chini wayamalize,pale kwenye jukwaa Magufuli aliwaita wote Makonda na Ruge,na...
Back
Top Bottom