Recent content by mangulumbwisi

  1. mangulumbwisi

    Ninapitia wakati mgumu sana, msichana anataka kuvunja familia yangu

    Mh yani wewe mwanaume ni mtu wa ajabu sana, Tena hata haya huna unajitangaza kabisa unatembea na mwanafunzi!! Umesahau umuhimu wa mke wako?? Huelewi maana ya Mke??????? Yaani umetekwa kiasi kwamba mpaka anachukua namba ya simu ya Mke wako, Wewe kaka huna heshima kabisa yaaani wewe sijui...
  2. mangulumbwisi

    Miaka 9 katika ndoa - Simuelewi mume wangu naomba ushauri

    Kabla hamjaenda popote kaa na Mume wako, Muulize, Wewe unachoogopa nini? Kuuliza unaogopa, wanaume huwa ni wazito sana kusema, Wewe kama unampenda kweli Mume wako, Muulize kama kuna tatizo la Hospital Mwende, Kama ni la Kiroho mwende kwa mchungaji hiyo hali siyo ya kawaida Mama. Wewe...
  3. mangulumbwisi

    Wachungaji, hasa makanisa yanayoitwa ya kiroho

    Utakuwa una tatizo huenda una Mapepo, nenda ukaombewe, uponywe
  4. mangulumbwisi

    Jinsi ya kupika tambi

    Samahani nje ya mada, Wapi nitapata jazia meal
  5. mangulumbwisi

    Kuzaa kwa upasuaji

    Inategemea Dr ameshauri nini? Kusubiri au kufanya upasuaji kabla. Kuanzia wiki ya 36, 37,38,39 mpaka 40, mtoto anakuwa amekamilika kabisa.
  6. mangulumbwisi

    Mwanamke mjamzito kupata kichefuchefu na kutapika: Chanzo na tiba yake

    Pole sana , hiyo ni hali y akawaida, usitoe mimba ni dhambi, nenda hospitali ya Serikali iliyokaribu na wewe jieleze kwa Dr utasaidiwa tu, Mimi nilikuwa na tatizo kama hilo miezi mitatu iliyopita, sasa niko fiti , Kunadawa inaitwa NOSIC na nyingine ni Domperidon ( sina hakika na spelling)...
  7. mangulumbwisi

    TANZIA: Bwana ametwaa - Jina lake lihimidiwe

    Pole sana, Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu dada. ASANTENI
  8. mangulumbwisi

    Why did i get married??

    Huwa unabadilika na kuwa ushindi
  9. mangulumbwisi

    Why did i get married??

    Dah pole sana inaelekea umechanganyikiwa kweli , lakini ndoa inataka uvumilivu, Kaeni mzungumze mmalize tofauti zenu, na wewe mbona umejikataa mwenyewe, yaani umekata tamaaa sana, haitakiwi kukata tamaa,
  10. mangulumbwisi

    Nifanye nini ili kuzuia kutapika mara kwa mara

    Asante bwana wewe unaleta utani wakati mimi naumwa sawa bwana.
  11. mangulumbwisi

    Nifanye nini ili kuzuia kutapika mara kwa mara

    JF Dr Nina ujauzito wa miezi mitatu, tatizo ninatapika mara kwa mara, nilienda hospital nikapewa dawa (NOSIC) nilimeza kwa muda wa wiki 1 zilisaidia kidogo ila tatizo linaendelea, pamoja kuwa nameza dawa lakini bado narudisha chenji ile mbaya mpaka hata kwenye daladala.Je nile nini matunda...
  12. mangulumbwisi

    Dawa ya kuondoa mabakamabaka meusi

    Dr. Mzizimkavu Nina ujauzito wa miezi mitatu, ninatapika mara kwa mara, je kunavitu au matunda ninayoweza kula ili hali hii ipungue?? nilienda hospital nikapewa dawa funali NOSIC zilinisaidia kidogo lakini hali ikawa palepala nakunywa na naendelea kutapika.
  13. mangulumbwisi

    Tahadhari tohara kwa watoto wa kiume!!!!! ALIJUMAA KARIAKOO ni hatari

    Pole sana mpe na pole mtoto , mambo ya watoto wazazi inatupasa kuwa makini sana, Nashukuru kwa kuweza kutukumbusha. Poleni sana
Back
Top Bottom