hiyo kitu inayoitwa kuwa kuna two aliens ni uongo ,vitu vyote vinafanyika kisayansi na kufanyiwa majaribio tatizo lenu hamfirii 100 yrs to come itakuaje au iweje nyie mnawaza two aliens,hao two aliens kama wana uwezo wa ajabu kwa nini wasitoroke au kukombolewa na wenzao
Naz daz,nzi za mwalimu ukikutwa na miche 3 ya sabuni ya kufulia unahojiwa na usalama wa Taifa,pakti 3 za colgate mtaa mzima utatangazwa wewe muhujumu uchumi,hivi pakti 3 za colgate ukiwa nazo mtu moja unahujumu vipi uchumi wa Taifa,Sukari mnapata kwa idadi ya watu ndani ya familiaenzi hizo...
Anaesema hivyo hakua na akili wakati nyerere anatawala,mtu ukikutwa na miche miwili ya sabuni unahojiwa na afisa usalama wa wilaya au ukikutwa na dawa za miswaki kuanzia pakti 2 unaulizwa na kuhojiwa na afisa usalama ukikutwa na noti ya dola hata dola moja utapelekwa ikulu kuulizwa umepata wapi...
CC tutapepea bendera ya ccm kwani hata CDM hawatatutafutia kazi au msosi misosi tutatafuta wenyewe,Hata marekani wapo wanaolala nje,wasio na kazi wanaokosa milo 3 kwa cku isipokua Brunei na Libya ya Ghadafi ndio kulikua hakuna wanaolala nje na kukosa kazi
----- wewe na chademayenu
Mhh usizungumzie kuundwa hata kuendeshwa linaendeshwa na nani? kwa maana mtaji wa kuiendesha Bakwata unatoka wapi? ukijua hutabaki ukisubiri amri au chochote toka kwa Sheikh wa Bakwta na ndio maana tunapotaka kufanya mapinduzi Bakwata serikali kwa gharama yoyote huilinda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.