hali si hali.. wenye mamlaka hata kuongea hawataki.
Kama ajira hakuna watuambie tu tukabangaize hata kwa wahindi huko..
Maana hata kujiajiri ni changamoto mitaji hatuna..
Na hiki ndicho kinachofanyika.
Kwa hiyo hata ukija na gari umeuziwa Tsh elfu hamsini.. hawata deal na hyo invoice yako watatumia bei elekezi (ya kwenye calculator).
Ila iwapo utajiloga ukaleta invoice kubwa kuliko bei ya kwenye calculator, hawa hapa TRA watafata hiyo invoice na kuacha bei ya...
calculator hii ni sawa kutumika kwa sababu inasaidia kupata thamani halisi ya gari wakati unanunua (Baada ya kutoa uchakavu) toka mwaka limetengenezwa.
Ndiyo maana gari model flani la mwaka mmoja ushuru wake ni constant..
Otherwise kila mtu angeleta invoice yake.. wewe utasema umenunua USD...
USHAURI:
kabla ujaagiza gari, tembelea kwenye ile calculator yao.. Na pia kwenye mwaka pale jaribu kucheza napo kwa kujaribu miaka tofauti tofauti unaeza ukaokoa million kadhaa
Kwa mfano, Mwaka jana Rav 4 kili time ya mwaka 2001 ilikua ina kodi kama 7.8m na wakati kili time ya mwaka 2000...
kinachotumika katika kukokotoa kodi ni vitu vifuatavyo:
1. Retail Price ya gari (Ikiwa mpya)
2. Mwaka gani gari limetengenezwa
3. Engine Capacity
Hivyo kwa kutumia Retail price ya gari na mwaka gari limetengenezwa (ili kujua depreciation) wanapata bei elekezi ya wakati gari limeingia...
JAMAA BY JUNE 2016 ALIKUA NA UTAJIRI WA ZAIDI YA TZS 8 BILLION. (According to him)
SOMA HII:
speculations which have been blazing over the years have finally come to an end after the Make Me Sing hit-maker revealed to E!TV on Sunday, June 26 his net worth – a whopping USD4 million (KSh405...
Sidhani kama kuna pension Fund inaweza kuwa ina support muajiri kutopeleka michango, hapa itumike common sense. Mifuko inaendeshwa kwa michango ya wanachama na ndo maana hawa waajiri huwa wanapigwa faini kwa kuchelewesha michango. Tatizo lipo kwa employers sio Pension Funds. Jitahidini kutafuta...
Mhe. Kairuki amesema zoezi la ukaguzi wafanyakazi hewa ni endelevu.. which means sio la kuisha leo wala kesho.
Wakate mzizi wa fitina tu, waseme ajira ni tarehe fulani. Watu tukae tusubiri. Hata kama ni mwakani waseme tu. ili tuangalie ustaarabu mwingine.
Acha kukurupuka, hakuna sheria inaruhusu mtu kuchukua michango yake akiwa katika ajira hiyo hiyo..? hata kama terms zimebadilika. Polisi wanakaaga kwenye mkataba miaka 12 ndiyo wanaingia permanent and pensionable ushawahi kusikia wanadai mafao ya kipindi wakiwa katika mkataba..? Na hiyo ndo...
Kwa kuwa wote ni viongozi wa nchi, si vyema kupuuza kauli ya mmoja wao. tutafute tu average..
PM: zoezi limekamilika = 100%
KAIRUKI: Zoezi limefikia = 70%
100+70 = 170
170 ÷ 2 = 85%
Hivyo zoezi limekamilila kwa 85%.
Bado 15% tu. Tuendelee kuvumilia.. Soon mambo yatakaa sawa. :) :)
Sasa hapo mkweli nani? Wziri mkuu anasema zoezi limekamilika, Kairuki anasema zoezi limefikia 70%. Wangeweka wazi tu tarehe ya hizo ajira kutoka watu wajue wanafanya nini kuliko watu kukaa wakidhani ni kesho kumbe mwakani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.