Recent content by MANGI1979

  1. M

    Msaada gx 100 toyota cresta

    mkubwa mwambie fundi acheki tie rod hands,ball joints juu chini,wsh bns,ndio ugonjwa mkubwa wa hayo magari kisha fanya greasing mkuu.Halafu fundi msimamie ila kama unamwamini inawezekana hamna haja ya kubadili spare ni ulegevu hivyo ni kukaza 2.Pole mkuu itarudi hali yake ukizingatia
  2. M

    Tweet ya CCM yenye Kingereza Kibovu iliyogeuka Kichekesho Kenya!

    memo ni mawazo yangu tu mie simo
  3. M

    Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    ndio maana nawashauri wanaume wenzangu,mwanamke apate diploma ya mtoto wa kwanza,degree ya mtoto wa pili,post graduate ya mtoto wa tatu ndipo aende kusoma kifua chake kikiwa flat kama linyama la nyongeza buchani.hapo hatakuacha maana grace period ya kutongozwa itakuwa imeisha atakuona last hope...
  4. M

    Tweet ya CCM yenye Kingereza Kibovu iliyogeuka Kichekesho Kenya!

    stop challenging,otherwise in so doing,u will be kibandalized effectively having a number of your tooth removed and others adjusted, and also the inner upper jaw membrane between the nose and mouth found disconnected.chezea honorary PhD holders wewe?
  5. M

    CHADEMA Haiko na Raila, please...

    jamani watanzania waacheni wakenya wakanyagane wenyewe kisiasa.mbona wao wana'mute mambo sisi yakitufikia shingoni?media zao zinatangaza mambo yao 2 sisi kimbelembele cha nini?mwishowe watatuoa
  6. M

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    huo ndio mwisho wa upeo wa elimu ya maddrasatul.narrow minded.padre wa mungu kawakosea nini?kwani aliingia msikitini kusalisha?serikali zanzibar ijipange kuwajibika na matukio haya ya kila siku dhidi ya wakristo.wameona wakichoma makanisa yanajengwa mengine mazuri zaidi na kwa kasi,sasa wakaona...
  7. M

    Updates kutoka Sahara - Mwanza mkutano wa CHADEMA

    kwani umelazimishwa kwenda kusikiliza mkutano?fikra finyu!!!!!!
  8. M

    Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

    jamani pema usijapopema ukipema si pema tena!!!!!!!!!!!!!!Kuku akitaga kwenye nanasi sharti ampishe mwenye nanasi wakati wa mavuno hata kama anaatamia kwani wakati ukifika umefika!!!!!!!!!!!!Hawa mawaziri walikuwa wamepewa hifadhi na mzee wa brazil wakakosa uaminifu wa kuilinda kazi yao hata...
  9. M

    Picture of today

    hiyo ni nadia used dubai mileage 230kms huoni speedmeter aisee indicator zenyewe solotape aisee!acha uchafu wako tena bora lulu hata kama kaua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  10. M

    Mrembo Fresh From College alamba Ukuu wa Wilaya Singinda

    ACHA USHAMBA AISEE ATA,MANAGE VP ANA INTERN GANI IF AT ALL SHE IS FRESH FROM COLLEGE?We sema tu kwamba Kanumba anamlea lulu mwisho wake leaders club!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  11. M

    Yataka Moyo..............

    haijafahamika vipi?????kwenu hakuna umeme??????????????????????
  12. M

    Wazungu Hamnazo

    Kwa staili hii nauaaaa mbwa wangu ndio maana anapenda kulishwa na mama huenda wanakula vingi!na amfuate the great!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  13. M

    Kwa style hii, mimi nafunga kizazi

    nyi loi mbe kuwore cha we pfo aisee cleme ahsante sana mwanangu.hii ni teknologia gani aisee au ni sibaki????????????????????????????????????????????????????????????????????
  14. M

    ningekuwa bwana harusi ningekimbia

    wallah astakafir huo sio upambwaji unaomsujudu mwenyeaz mungu!wala hawatoweza pata thawabu yeyote!ngozi ikizeeka kama nyati mzee basi kubali kubaki hifadhini ngorongoro usiende arusha city utajiaaibisha!sura gani za kukomaa hivyo zinakuwa kama mti wa mzambarao?AISEE CLEME AHSANTE SANA...
  15. M

    ningekuwa bwana harusi ningekimbia

    wallah astakafir huo sio upambwaji unaomsujudu mwenyeaz mungu!wala hawatoweza pata thawabu yeyote!ngozi ikizeeka kama nyati mzee basi kubali kubaki hifadhini ngorongoro usiende arusha city utajiaaibisha!sura gani za kukomaa hivyo zinakuwa kama mti wa mzambarao?AISEE CLEME AHSANTE SANA...
Back
Top Bottom