denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,953
Kila kukicha mikutano sijui watanzania tunaelekea wapi
tunaelekea mbinguni kwa baba, maana huko kuna makao bora na safi, hamna kuumwa....!
Kila kukicha mikutano sijui watanzania tunaelekea wapi
Wewe unataka kila kukicha iweje? Mbona hushangai kila kukicha ufisadi? Mbona hushangai kila kukicha gharama ya maisha inapganda nk? Ukishangaa ya musa.....................!
Si mkasubiri mkutano wa Nape pale Lumumba kama vipi, kwa nini mhangaike na mikutano ya wenzenu???
...ni vyama vya msimu, msihangaike navyo..."Ni upepo tu, utapita! by jk" teh teh teh
Si mkasubiri mkutano wa Nape pale Lumumba kama vipi, kwa nini mhangaike na mikutano ya wenzenu???
Kila kukicha mikutano sijui watanzania tunaelekea wapi
mikutano kila siku mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.
Bukanga ni kamanda mwenzako mkuu usimshambulie
Unajua mkiwa vitani huwa kuna friendly fire nimemjuisha na kina Rejao basi anisamehe.Bukanga ni kamanda mwenzako mkuu usimshambulie
Kwani unga haujapanda bei....mimi nashauri uwaambie hivi tuna kula ugali zaidi kwasababu CCM wanapandisha bei ya mchele kila siku ili watoto nao wajenge chuki zidi ya CCM...mchele buku tatu kilo!!!!
inabidi uwaambie watoto, tunakula ugali zaidi kwa kuwa unafaida kiafya kuliko wali!!!!!!! unaficha aibu tunayotengenezewa na ccm.
viwanja vya sahara
Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.
Kwani unga haujapanda bei....mimi nashauri uwaambie hivi tuna kula ugali zaidi kwasababu CCM wanapandisha bei ya mchele kila siku ili watoto nao wajenge chuki zidi ya CCM...
kwani umelazimishwa kwenda kusikiliza mkutano?fikra finyu!!!!!!Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.
you are more than waste productsMikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.
Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.