Recent content by Mangi.

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tumia sehemu Kubwa ya muda wako kufanya mambo ya msingi

    Asante sana kwa ushauri mkuu.Endelea kuwajuza watu mambo mazuri kama haya maana kwa wajanja kila siku hujifunza jambo na kwa wajinga kila siku hujifanya wanajua mambo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Jamani nahitaji corolla one eleven used hapa bongo.ya 4mil.naweza nikapata? Piga 0755 827255 pls
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukianza kufanya mambo haya 5, hadhi yako itaongezeka

    Asante sana kwa Elimu nzuri mkuu.haya ndio mambo tunayotaka huku.utakomboa watu wengi kwa taaluma ya bure unayotoa.be blessed.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Prof. Muhongo: Mengi ni mtu mwenye Nguvu/Ushawishi zaidi Tanzania

    Swali zuri sana.
  5. M

    JamiiForums Tanzania AZAM MILK, artificial au maziwa halisi?

    Kwani yakiwa artificial hawezi kuandika ingredients anazopenda kuandika kwenye box?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hotel ya bei ndogo Arusha

    Ukishuka stand usiende mbali.nyanyua macho juu juu utaona majengo ya hoteli kama natron.aquilin.rich na joshmal.zote hizi hazizidi elf 50.000.na hauhitaji tax ya kwenda hapo na full usalama.karibu arusha mkubwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote ni wajanja!

    Kweli kilaza anatafiti nzuri.ila juzi juzi niliona daladala moooja ikipanda kwa tabu kweli old moshi..waold moshi acheni ubishi kulipa nauli daladala zipandage bana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Arusha Modern School Is It Best in Arusha?

    Yan broo hizo unazoambiwa st constatine ni international schools.wanatumia cambrige carriculum.ada yake sio chini ya dolla 6000 kwa term.na wanakuaga na term tatu per year
  9. M

    JamiiForums Tanzania Arusha Modern School Is It Best in Arusha?

    Arusha modern wana shule mbili.ya primary iliyopi sakina na secondary iliyopo kisongo.ila zote zina maadilli ya dini ya kiislam.haswa wahindi ndo wengi pale.hata wamiliki ni wahindi ndugu.kitaaluma ipo vizuri maana hakunaga failiers
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa LUKU Una tatizo gani?

    Dah.kazi ipo.
Back
Top Bottom