ningekushauri kati ya st Patrick,Green valley, st Costantine na st Jude., Joyceline Arusha modern haufiki kisongo, pale bado ni sakina.
Dear JF !! Thats school is abundantly good ! I m staying close to that.
Shule ya Arusha Modern ni wakati ilikuwa kwenye ubia na wale wahindi. Siku hizi hovyo kabisa. Ni shule ya Mchanganyiko iko pale kisongo. Watoto wameshaku spoiled kwa kiwango kikubwa. Mwanangu alisoma pale na ilibidi nimwondoe na kumpeleka shule nyingine. Perfomance yake sio nzuri kihivyo. Hayo maombi watu wanayoyasema sijui yameanza lini. Ila mwenye shule mwenyewe muislamu, maombi wapi na wapi.
Kuna shule nzuri kama Agape- Moshi, St Bendel- Moshi, St Constantine,st. Jude au nenda msimbazi center, Cathedral Moshi au St Theresa Pale Arusha watakupatia list ya shule za Kanisa
nimekumbuka home ghafla aisee, ila hii shule ilitutesa kujenga hadi watu tulitaka kuzira kwenda kanisani! kila ukienda charch mchango wa kujenga shule. ila ni nzuri sana1. Yes Agape mwaka jana ilikuwa among the best 10 kwa matokea ya form IV Tz! Nadhani likuwa ya sita!
Kimaadili ni shule ya Lutheran: na ipo nje ya mji Mamba-Mkolowony, sii mbali toka Marangu na hakuna vishawishi!
sema inakuwa kazi sana kupata nafasi ni bora basi uanze maandalizi mapema!
2. Kwa wenye watoto wakike kuna St. Anuarite ipo karibu na Kawawa Rd, Moshi it was also among the best 10 Tz mwaka jana! Ni ya bweni chini wa RC! wako so strong haswa ktk Sayansi!
Ni shule nzuri sana ipo karibu na makumira,pia Ailanga junior seminary ni nzuri sana iko mpakani na Arusha National parkKuna shule pia inaitwa Precious Blood ni nzuri nayo ...ni branch ya kifungilo
Dear JF !! Thats school is abundantly good ! I m staying close to that.
ningekushauri kati ya st Patrick,Green valley, st Costantine na st Jude., Joyceline Arusha modern haufiki kisongo, pale bado ni sakina.
NAifahamu Arusha Modern iko Arusha maeneo ya kisongo ni nje ya mji kabisa, ni shule nzuri ina maadili ya dini full maombi hiulo kila mtu analijua, kwa upande wa masomo wanafanya vizuri japo si maksi za kutisha sana lakini hamna aneyfail, ni boarding na watotot wanafundishwa kazi kama ni mdogo wa kike anapewa dada yake wa madarasa ya juu atakayemfundisha kazi ndogondogo mpaka azoee,
Na mazingira si ya kimjini sana ambayo yanampa mtoto vishawishi ni shule ya wahindi.
Na pia kuna st. Patrick Trust Academy ni shule nzuri sana inaanzi baby class mpaka chuo pale mtot akienda hata kama kichwa chake si kizuri lazima atapasua tu jaribu hizo nikiendele kukumbuka nitakuambia, halafu ungesema mtot wa jisnia gani na anasoma darasa la ngapi au secondary ndo ingekuwa nzuri zaidi
Wana JF
Nimeamua nimtafutie mtoto wangu shule ya Sekondari mkoani Arusha (naipenda sana Arusha). Nimetambulishwa kuwa Arusha Modern School ni mojawapo ya shule nzuri za private.
Naomba kama kuna mdau yoyote humu anaifahamu AMS au nyingine yoyote yenye sifa hizi Arusha anisaidie maoni yake, ningependa kulinganisha:-
- Mazingira ya kusomea
- Walimu
- Mahali ilipo (Arusha kubwa sana)
- Ni lazima iwe Boarding
- Mchanganyiko
- Miiko ya Kidini (Christian)
- Matokeo ya Mitihani inayoridhisha (Kitaifa na Nje)
- Kufundisha Kazi za Mikono (Shule watoto wanayofuliwa nguo nisingeipenda)
- N.k
Natanguliza Shukhrani.
Nashauri usichangua shule niliyoweka red, kuna shule inaitwa Lack Vicent iko Mkabala na Field Force Unity (FFU) Mbauda kwa Mrombo pia kuna Shule inaitwa Intel School inamatokeo mazuri sana kuna mtoto wa ndugu yangu yuko hapo kiukweli matokeo yake yako vizuri sana.
About Intel Schools
- ACADEMIC ACHIEVEMENTS:
- Class 1V- National Exam for 2004, our School scored 2nd position (83%) among 184 schools in Arusha District.
- Class 1V- National Exam for 2005, our School scored 9th position (87%) among 192 schools in Arusha District.
- Class 1V- National Exam for 2006, our School scored 4th position (90%) among 192 schools in Arusha District.
- Class 1V- National Exam for 2007, our School scored 2nd position (92%) among 194 schools in Arusha District.
- Class V11- National Exam for 2007, our First School candidates passed all (100%) and were selected to join various Government Secondary Schools.
![]()
Hiyo yenye red unayoikataa matokeo yake ya promary 2015 ni :-Nashauri usichangua shule niliyoweka red, kuna shule inaitwa Lack Vicent iko Mkabala na Field Force Unity (FFU) Mbauda kwa Mrombo pia kuna Shule inaitwa Intel School inamatokeo mazuri sana kuna mtoto wa ndugu yangu yuko hapo kiukweli matokeo yake yako vizuri sana.