Mtandao wa LUKU Una tatizo gani?

Mtandao wa LUKU Una tatizo gani?

Leo kuanzia asubui kuna tatizo la manunuzi ya umeme tatizo ni nini?na kama kuna tatizo mbona shirika la tanesco alijatangazia wateja wao kama kutakuwa na tatizo?mm nimelala giza
 
Watu wanatofautiana kvpato mkuu shukuru Mungu ww unaweza kuongeza kabla hzjaisha, kuna wanaosamehe wik 2 hv ili watoto wale na kusoma
 
Kupanga ni kuchagua ...umeamua mwenyewe kukaa foleni.
Zifuatazo ni njia mbadala

1. Mpesa
Wewe kama ni Mteja wa mpesa, tigo zantel au airtel unakaa kitandani kwako unaingia kwenye menyu unanunua umeme unapewa TOKEN na kusimama, elekea kwenye mita yako tia umeme.
FOLENI UMEITAKA MKUU

2. CRDB BANK
wewe kama ni Mteja wa benki ya crdb kuna njia kuu2
i. Ingia menyu yao kwa *150*03# ingia kwenye Akaunti yako nunua umeme then unapata token ukiwa apo apo chumbani kwako.

ii. Tafuta wakala yeyote wa crdb mwambie hela hii apa nataka umeme ...ataingia kwenye machine yake na kukupatia risiti yenye token
Wakala wa hii benki nawaona kila mtaa, mtaani kwetu wapo wa3 ....
Office nyingi za posta ni wakala wa crdb.

Mwisho:
Maxmalipo
Ukiona kibao cha maxmalipo ...ingia wape mita namba, watakupa karatasi ya token.

Njia hizi hazina foleni.


Mwenye swali aulize! Ukikaa folen umetaka mwenyewe.
Ndio namaliza kuwapigia promo Hawa watu!! Sitaki malipo ya promo hii

Mkuu umeeleweka lakini tatizo ni mtandao wanasema unasumbua mimi tangu juzi nahangaika kupata umeme...
 
Hii nchi yaajabu sana kuna seeious problems kwenye mitambo ya Tanesco hii ni siku ya Tatu hakuna cha taarifa wala nini
 
Hii nchi yaajabu sana kuna seeious problems kwenye mitambo ya Tanesco hii ni siku ya Tatu hakuna cha taarifa wala nini

Yaani ni shida kweli utafikiri nchi haina uongozi, kwa wenzetu walahi waziri angejiuzulu zamani
 
Kupanga ni kuchagua ...umeamua mwenyewe kukaa foleni.
...
Mwenye swali aulize! Ukikaa folen umetaka mwenyewe.
Ndio namaliza kuwapigia promo Hawa watu!! Sitaki malipo ya promo hii
Mkuu umeandika kwa mbwembwe yaani kama vile unajua mambo na wengine hawajui! Pengine hukuelewa thread inazungumzia nini. Haya basi jaribu wewe kununua kwa kutumia njia hizo halafu urudi hapa kucomment tena!
 
Leo nalala giza crdb sim banking toka asubuhi hawajanirushia token.
 
Shida nchi imeingia ktk digital wakati bado uwezo wa kuwemo ktk digital era hatunao na la kwanza na muhimu ni lazima tuwe na hogh speed realible onterbet,sasa huu mtandao una download 2MB kwa dakika 10 unategemea nini?
 
Back
Top Bottom