Recent content by mangi mandara

  1. M

    JamiiForums Tanzania pesa inatumikaje hapa? msaada

    Heri ya mwaka mpya uliebahatika kusoma hapa,wanajamvi mimi ni mwanaume kila mwanamke nnaejaribu kumtongoza hua nampata kweli haruki kamba si kama najisifu ndo maisha nnayoyaona kwangu nikijaribu kufanya ivyo,mi bado sjajua nikwamba nawanyookea wale wakwangu ama the way i'm,i dont know,though...
  2. M

    JamiiForums Tanzania I Need ur Help Please

    Dah mkuu umenchekesha kinoma yan mnatongozana kitoto mbaya eti mara kakubali,mara ntakufkiria kesho,mara jana nlipitiwa wala skupend,mara nimekubali dah chamsingi uyo dem hana msmamo na ukiweka swag za kikubwa hana lolote uyo ila punguza ngonjera mkuu kwa dem
  3. M

    JamiiForums Tanzania akirudi ntagunduaje

    GEORGEALLEN umetisha mkuu yani kupigiwa katerero tena?mbona kwa mtaji huu uyu mwanamke atanletea mshtuko wa moyo na vijambo vingi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania akirudi ntagunduaje

    ilo jibu la ugoro puani naona nimjaribu kwanjia iyo naona ndo njia pekee thanks Mashaxizo
  5. M

    JamiiForums Tanzania akirudi ntagunduaje

    Abari zenu,mpenz wangu bana kasafiri ameenda mikoa ya kanda ya ziwa kama mjuavyo ni msimu wa christmas na mwakampya,kiukweli simuamini %,maana sijazaliwa nae sasa akirudi nataka nipime ile naniliu yake kama imegegedwa maana mpaka sasa mwez mmoja umeisha alafu nnaham nae sana kiukweli lazima bed...
  6. M

    JamiiForums Tanzania ivi my lady afanyavyo ni sawa kweli?

    mbona unaongea usilolijua mkuu unauhakika gani mi ni shoga embu jieshimuni@Billie
  7. M

    JamiiForums Tanzania ni mpenzi wangu au na wengine wako ivi

    tehtehteh
  8. M

    JamiiForums Tanzania ivi my lady afanyavyo ni sawa kweli?

    Hapana sio mara ya kwanza@Bebz
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana ila nakinai mapema

    unajua mkuu majini mahaba wakimwingia m2 mtu huyo huonesha dalili mbalimbali na nyingi sana siwez kuzisema dalili hizo kwasasa maana nlikua napita nikaona nitie kaneno kidogo apa hivyo kwamaelezo yako bas usichanganyikiwe namambo mengi bali una jini mahaba,kwaiyo muombe Mungu wa ibrahm,isaka na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania hili jino linataka kunitia majaribuni

    Tare22 kabla ya christmass nimeng'oa lakwangu ambalo nigego liliniuma sana mkuu atakuangalia cm kama wewe jf nafkiri sikuona kama kuna anaeweza kunishauri tofauti na kuling'oa,kwaiyo minaona bado alijakuuma vizuri kiasi cha kutoka usaha maskioni,sina mengi nakushaur muone daktari kwaushauri mzuri
  11. M

    JamiiForums Tanzania Demu wangu katoa mimba yangu kweli aninipenda au ?

    Inaelekea kati ya uyo mwanaume ama uyo mwanamke mlisisimka mkaacha mambo yajiendeshe yenyewe kwa hali hiyo nyie bado amjajua kuji (handle)sjui kwakiswahil manake neno hilo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kwanza kwa mwanamke eti ana access muda wowote, hata akiolewa?

    wakuu swala hili nilaki Mungu,kwasababu biblia inasema damu ndio ifanyayo upatanisho hivyo basi pale nidam imemwagika na atakaepatana nae ni yule aliye mbikiri nafkir umenielewa msanii.
  13. M

    JamiiForums Tanzania kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

    kama pesa ndo mpango! Je akiishiwa au akifulia mazima utamtafuta mwingine ama vp@baby wa kitaa
  14. M

    JamiiForums Tanzania kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

    kutokana nahali yasasa ya wanawake wapenda pesa ndugu yangu ukitaka kupata mke bora popote Tanzania usiweke vigezo kama ivyo ata kama unavyo mfano,degree,bachela,sjui nalipwa mil.2 kwa mwazi ni ukuda uo kuwa mjanja mkuu jifanye maskini wakati uo ili badae mfurah pa1 mkuu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania ivi my lady afanyavyo ni sawa kweli?

    nishaurini jaman
Back
Top Bottom