Ukiona hapati signal ujue nyaya zote zineshakatwa
***Hivi hakuna kitu cha kufikiria zaidi ya hilo tundu***?
Abari zenu,mpenz wangu bana kasafiri ameenda mikoa ya kanda ya ziwa kama mjuavyo ni msimu wa christmas na mwakampya,kiukweli simuamini %,maana sijazaliwa nae sasa akirudi nataka nipime ile naniliu yake kama imegegedwa maana mpaka sasa mwez mmoja umeisha alafu nnaham nae sana kiukweli lazima bed langu sku iyo akirudi itakua vumbi tuuu mpaka kukuche sasa ntajuaje kama wakuda wameshapakua uko alikokuepo,kiukweli na yeye tunavyowasiliana anasema amemis sana mnaniliu wa mpenz wake nae anaham yakurudi ili nimshughulikie,sasa ntajuaje mali yangu imeguswa na wakuda jamani,maana kuna baadhi ya waschana huwa waongo maana wangu simuamini hivyo msaada wa vipimo tafadhali matusi spendi ila kama wekichwa ngumu unaweza kutukana tu sio mbaya kwa muelewa naomba ushauri pls.
acha kumchuza mwenzio kuna wengine hatuna hizo signal kabisa
Unataka kuuliza kama yule wa taa ya chemri kwanini alivimbisha
Mkuu huyu jamaa apigwe tu na bunduki hiyo
Aiseee Mushi bado upo!!!
Mbona ameomba samahani kabla..
Au ndiyo wewe mshukiwa hahaha 🙂
kama ni............Hapo kazi...coz akija atakuwa ameshaoga na yuko safi. Kwa kisayasi zaidi chunguza wingi wa mbegu akimwaga kwani huwa zinakuwa kidogo zikiwa zinatokatoka. Kama ukiona nyingi jua akuzitumia.
Sent from my SM-N900 using Tapatalk
itakuwa bado hujapata wa kuitegesha antena vizuri wewe.............
na nitampiga tu , kwani tumeshachoka mkuu........
We Mangi ulikosea kuoa mhaya. Huyo lazima wahaya wenzake wamempiga katerero. Hii tekinoloji nyie wachaga hamuijui.Abari zenu,mpenz wangu bana kasafiri ameenda mikoa ya kanda ya ziwa kama mjuavyo ni msimu wa christmas na mwakampya,kiukweli simuamini %,maana sijazaliwa nae sasa akirudi nataka nipime ile naniliu yake kama imegegedwa maana mpaka sasa mwez mmoja umeisha alafu nnaham nae sana kiukweli lazima bed langu sku iyo akirudi itakua vumbi tuuu mpaka kukuche sasa ntajuaje kama wakuda wameshapakua uko alikokuepo,kiukweli na yeye tunavyowasiliana anasema amemis sana mnaniliu wa mpenz wake nae anaham yakurudi ili nimshughulikie,sasa ntajuaje mali yangu imeguswa na wakuda jamani,maana kuna baadhi ya waschana huwa waongo maana wangu simuamini hivyo msaada wa vipimo tafadhali matusi spendi ila kama wekichwa ngumu unaweza kutukana tu sio mbaya kwa muelewa naomba ushauri pls.