PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,996
- 2,017
Yani mwaka jana ndo kamaliza form four...so wakati anatongozwa mara ya kwanza alikuwa darasa la sita ama la saba.Bwn mdogo, hiyo sentensi juu imenichanganya sana. Kwamba huyo binti ulimtokea miaka sita iliyopita na mwaka juzi ndo amemaliza form four. Maana yake kwa lugha rahisi, ulimtokea akiwa form one au form two, kweli mlikuwa watoto sana na bado ni watoto hata leo!
Majibu anayokupa huyo binti, yanaonyesha dalili za nataka sitaki, kwa watu wazima tumeshamuelewa! Ila kwa kutambua kuwa alimaliza form four mwaka juzi (na mwaka huu ndo kwanza Jan), nakushauri, muendelee kufocus kwenye masomo yenu ya elimu ya juu kuliko mliyonayo sasa maana mnaweza kujikuta mnapotezeana muda na kupoteza fursa za kujiendeleza kielimu ambazo ndo msingi wa maisha yenu yajayo.
Hivi kwenye hii dhambi si hata sisi tutakaotoa ushauri tutahusika.
Bwana mdogo we kazana na BRN then uje hapa ulete mada ukimaliza chuo at least. Usijetusababishia dhambi wakubwa zako tukaonekana tunaharibu hii generation kumbe ilishaharibika