Recent content by Mangala boi

  1. Mangala boi

    JamiiForums Tanzania (TETESI)-MACHAME FAILURE MISSION

    Basi ndio maana jamaa kawai
  2. Mangala boi

    JamiiForums Tanzania (TETESI)-MACHAME FAILURE MISSION

    Wanawake wa kimachame ndio tabia zao kuuwa wanaume wao wabaki na mali jamaa kamuwai
  3. Mangala boi

    JamiiForums Tanzania Thread ya kuomba ushauri nasaha kuhusu tatizo la kiafya linalonisibu kwa muda mrefu sasa

    1. Moyo na mzunguko wa damu Wakati misuli inahitaji damu nyingi wakati wa kupanda au kukimbia, kama mzunguko haufiki vizuri unaweza kuchoka ghafla, kuona giza, na jasho. 2. Misuli na mishipa Hali ya misuli kuchoka na kuganda ghafla inaweza kuhusiana na jinsi misuli inavyotumia nguvu. 3...
  4. Mangala boi

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Watu mnamoyo wani niisichape mpka ndoa wakati huo wenzako wanaichapa bila mashart
  5. Mangala boi

    JamiiForums Tanzania Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

    Mwanaume ukishakuwa na wowowo ni tatizo
  6. Mangala boi

    JamiiForums Tanzania Yote kwa yote Dudubaya ni tahira

    Yu bela wochi yua baki😂😂
  7. Mangala boi

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Polisi ina mapungufu makubwa: Sakata la dereva wa serikali kutoa silaha na kumtishia dereva wa SATCO Dodoma

    Umeongea point sana mkuu polisi wameamua kwasasa wanatunga sana story mfano yule doctor kusema kwamba alipigwa na wananchi
  8. Mangala boi

    JamiiForums Tanzania Kafulila ni nani,mbona kila siku uzi mpya ni yeye !

    Ata mimi najiuliza mkuu kila siku huyu kafulila ni nani uko dasalamu kila siku nakutana na habari zake humu
  9. Mangala boi

    JamiiForums Tanzania SAKATA LA SEA CLIFF: Mtego wa kisiasa alionasa Mange Kimambi na Majibu ya Dada wa Tundu Lissu (Uchambuzi wa Kiintelijensia)

    Kimambi mara nyingi taarifa zake zinakitu sio kama yule maria nyingi tango pori
  10. Mangala boi

    JamiiForums Tanzania Tupate wadhamini kidogo

    Kipato anacho na yeye aende kwa mganga
  11. Mangala boi

    JamiiForums Tanzania Makonda afika Barcelona, akabidhi jezi yenye jina la SAMIA na lake

    😂😂😂 wee jamaaa
  12. Mangala boi

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kijana anayedaiwa kuwa dereva bodaboda akutwa ameuawa shambani

    Mkuu wa mkoa apo kazi yake ni ipi hayo matukio yanajirudia sana
Back
Top Bottom