Recent content by Maneno mengi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo ndio unaondoka na umeme!

    Mbona naona umekatika kwa leo tu..tena walitangaza kabsa kabla ya kukata
  2. M

    JamiiForums Tanzania Najuta kumpenda mwanaume asiyenipenda mwenzenu, naombeni ushauri wenu wadau

    Omba mungu,Piga kazi utunze watoto..uyo m'ume majuto yake baadae
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuunganisha namba ya simu.

    nipe kwanza hzo namba za simu nikusaidie kukuunganishia mbona rahisi tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuunganisha namba ya simu.

    kwani hujui kuunganisha hzo simu au,,simu yako ni ya nokia au
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nipo serious kwa 100%(natafuta mume wa maisha)

    we nawe sasa uyo mume utampatia umu kwa wanaforums au? mtafutie ukouko mtaani kwenu bana,,alafu kupata mume au mke bora inatagemeana wewe ulijtunzaje apo kabla,kama ulikua hukutulia itabidi uombe mungu sana kumpata uyo mume mwenye hvo vgezo unavovitaka,,manake hvo vgezo tunavo anaume wachache mnooo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hatari: Majambazi yavamia eneo la Kimara king'ongo, yanatumia mabomu kulipua mageti

    dah hili jeshi la polisi sijui linakuwaga wapi mpaka awa watu wanatusumbua namna hii,,na hayo mabomu sjui wanayapatia wapi aisee,,poleni wnakimara king'ong'o.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la Arusha: Rais Kikwete akatiza safari ya Kuwait

    tatizo ni uwasilishwaji wa hiyo maada inayosema "kIKWETE AKATIZA SAFARI YA KUWAIT" apo ilibidi iandikwe hivi "RAISI KIKWETE ATAREJEA NCHINI HARAKA KUTOKA KUWAIT KUTOKANA NA MAAFA YA MLIPUKO WA KANISA LILILOPO ARUSHA" nahisi apo ndo tungeelewa vzuri.
  8. M

  9. M

    JamiiForums Tanzania Nakuaga Hugo Chavez: Wewe ni miongoni wa 'role models' wangu kimataifa...

    Kwa kweli alikua ni mwenye kujali maendeleo ya nchi yake..Mungu ailaze roho pema,,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Wee endelea hivo hivo kutufanya mabwege wenzio,,hyo story umeiweka hili tuitolee filamu au vipi?? We mkinde kabla ya kuandka post zako zifikrie in deep,,sisi sio boongo movie kawape wakna JB waztolee filamu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Weee mschana naisi uliamua tu kutuudhi wanaforums,,siku nyngne usirudie kuandika huo upuuzi wako,,unataka upendwe vipi? Then umemtolea maneno machafu kidume kenzetu,,kama ulivomuona yeye ----- ndivo uyo sharobaro wako anavokuona punga,,eboooo
Back
Top Bottom