Recent content by Mandison

  1. Mandison

    Wakala wa mbegu ASA wamesababishia wakulima wa alizeti hasara kwa mbegu yao ya STANDARD

    Mvua ilikuwepo ya kutosha na mbolea niliweka. Mazao ni kidogo mno japo zilionesha kustawi sana
  2. Mandison

    Wakala wa mbegu ASA wamesababishia wakulima wa alizeti hasara kwa mbegu yao ya STANDARD

    Wakala wa mbegu Tanzania (ASA) mjitafakari sana! Mliwaaminisha watanzania kuwa mbegu yenu ya alizeti mnayoiita STANDARD ni mbegu bora kumbe ni mbegu ya hovyo kabisa! Ni bora mngeacha wakulima waendelee na mbegu za kienyeji ambazo ni nzuri na zinatoa mazao mengi kuliko huu upuuzi mlioaminisha...
  3. Mandison

    Kilimo cha mkonge: Upandaji, matunzo na masoko

    Asante. Huwezi kuyapata hayo masoko worldwide bila kujua namna ya kulima, processing na kuwajua hao wanunuzi wenyewe
  4. Mandison

    Kilimo cha mkonge: Upandaji, matunzo na masoko

    Habari wana JF! Kwa sasa hivi nimeona juhudi mbalimbali zinazochokuliwa kuinua kilimo cha mkonge kwa maelezo kwamba kinalipa kwa kuwa ni zao lenye soko kubwa. Naomba kujua uzoefu wenu katika kilimo hiki kuanzia mikoa ambayo zao hili linastawi zaidi na aina ya udongo. Pia napenda kujua namna ya...
  5. Mandison

    Kituo cha Polisi Mlangali-Ludewa,njombe ni kitovu cha rushwa

    Mkuu pole sana kwa madhila yaliyokupata. Wewe binafsi uliwahi kumtafuta huyo OCD ukasikia kauli yake au huyo ndugu yako alipofika huko Ludewa alibahatika kuonana naye? Inawezekana askari akasema anaongea na kiongozi fulani kwenye simu kumbe siyo. Cha msingi kama ulivyoamua kuliweka hili bayana...
  6. Mandison

    Zao la mchikichi, dhahabu mpya shambani, mbegu ya kisasa na mazao mengi zaidi

    Nashukuru kwa habari hii. Ingependeza zaidi tungejua kuhusu upatikanaji wa miche(mbegu), ardhi gani inakubali zao hili(mikoa na wilaya gani) na masoko- mnunuzi mkubwa kwa sasa ni nani?
  7. Mandison

    Naomba kupewa uzoefu wa zao la alizeti kwa wilaya ya Liwale

    Habari wana JF, Nina wazo la kulima alizeti katika wilaya ya Liwale baada ya kuona ufuta unasuasua kwenye suala la bei sokoni. Naomba wenye uzoefu kuhusiana na mbegu inayohimili hali ya hewa katika wilaya hii anisaidie uzoefu wake tafadhali
  8. Mandison

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Asante kwa somo zuri. Je, kuna dawa za palizi kwenye ufuta?
  9. Mandison

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Habari wa JF! Naombeni ushauri au uzoefu wenu kuhusu madawa yanayoweza kutumika kufanya palizi kwenye shamba la ufuta. Nafahamu yapo madawa ya kufanya palizi kwenye mpunga na hata mahindi na kwa kiasi kikubwa yanasaidia kupunguza gharama za kilimo kwa wanaolima mashamba makubwa. Nimejaribu...
  10. Mandison

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Habari wa JF! Naombeni ushauri au uzoefu wenu kuhusu madawa yanayoweza kutumika kufanya palizi kwenye shamba la ufuta. Nafahamu yapo madawa ya kufanya palizi kwenye mpunga na hata mahindi na kwa kiasi kikubwa yanasaidia kupunguza gharama za kilimo kwa wanaolima mashamba makubwa. Nimejaribu...
  11. Mandison

    Kilimo cha ufuta Lindi

    Nami nasubiria jibu maana hadi sasa hakuna taarifa za uhakika toka RUNALI
  12. Mandison

    Naomba ushauri wa dawa za palizi kwenye shamba la ufuta

    Habari wana JF! Naombeni ushauri au uzoefu wenu kuhusu madawa yanayoweza kutumika kufanya palizi kwenye shamba la ufuta. Nafahamu yapo madawa ya kufanya palizi kwenye mpunga na hata mahindi na kwa kiasi kikubwa yanasaidia kupunguza gharama za kilimo kwa wanaolima mashamba makubwa. Nimejaribu...
  13. Mandison

    Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Hili wazo nalikubali na nimelifanyia kazi, shamba limeanza kuonesha matumaini japo changamoto ni nyingi
  14. Mandison

    Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Bora aje tu tutajuana huko huko[emoji16]
Back
Top Bottom