Recent content by mandevuclassic

  1. mandevuclassic

    Mwanaume bila Pesa, wanawake wazuri utaishia kuwaona tu kwa macho, na kamwe hutoheshimika

    Uzuri wa mwanamke upo kwenye tabia..ukubwa wa mapaja,matako na matiti havina uhusiano na uzuri bali NGONO
  2. mandevuclassic

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    We love Liverpool we do
  3. mandevuclassic

    Watu wanaolalamikia internet kufosi Starlink mbona Voda, airtel wana unlimited nzuri kwa 120,000 tu kwa mwezi

    Watu wanataka speed, hiyo mitandao uliyoitaja speed sio kubwa na hata ikiwa kubwa ni baadhi ya maeneo tu..!
  4. mandevuclassic

    VIP account subscription

    Namaanisha forever servers pro za DStv Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
  5. mandevuclassic

    VIP account subscription

    Tunaohitaji za DStv tunapataje Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
  6. mandevuclassic

    Kwanini Kanisa Katoliki huwa linaingilia masuala ya kisiasa kwenye nchi za Afrika?

    SIO Africa tu hata ulaya na amerika pia RC wao ndio wanasimamia NWO wakisaidiana na amerika..
  7. mandevuclassic

    Mwanaume wa kibongo njoo hapa mtueleze kwanini unamtongoza mwanamke saa moja mbele eti unataka tunda

    Kama katutongoza basi jua jamaa ni bwege haswa..kwa ulimwengu wa leo malaya wamejaa kila Kona..kuanzia 2000 mpk 5000 ni ujinga kutongoza ukizingatia huyo mtu huji kuishi nae..!
  8. mandevuclassic

    Ukatili huu wanaoufanya GSM dhidi ya Yanga SC haukubaliki; wana-Yanga tuungane kuupinga

    Inawezakana 1.huna akili 2. Hujafanya utafiti au/na 3. unamihemko Vilabu (Liverpool) vs watengeneza jezi (Nike) Nike anaingia mkataba na Liverpool wa kutengeneza jezi.. Liverpool anapewa dau lake..! Jezi za Liverpool zikiuzwa pesa inaenda kwa Nike na kiasi kidogo kinaenda kwa Liverpool..! Na...
  9. mandevuclassic

    Kocha Nabi yuko overated, Kaizer Chief wamemstukia, kuna watu nyuma yake ndio wanambeba bila hao hamna kitu

    Atafukuzwa ASUBUHI tu..timu za DUNIA ya kwanza au ya pili..zinataka Big results now kwa sababu wana mkurugenzi wa michezo, scouts na benchi la ufundi linalosimamia mikakati na falsafa za CLUB..kocha ukija unaweka ufundi wako tu..sasa yeye anataka mpk WACHEZAJI [emoji23][emoji23]
  10. mandevuclassic

    Kocha Nabi yuko overated, Kaizer Chief wamemstukia, kuna watu nyuma yake ndio wanambeba bila hao hamna kitu

    Pitso, pep au mou kila wanapoenda wanaenda na watu wao kwenye BENCHI la ufundi tumeona hivyo kwa arteta au klopp pia...walimu wengi hupenda ongozana na watu wao kwa kua wanajuana.. kaizer chifu haikuwa sehemu SAHIHI kwa NABI..wale wana falsafa zao..!
  11. mandevuclassic

    Diamond Platnumz kavurugwa?

    2023 bado anatumia mbinu za 2003 kweli? Diamond kwa ukubwa anaopewa, nyimbo ndio zingekuwa zinaongea sio mikwara..! Jay Melody yupo kimya ila nyimbo mpk chooni zinapigwa
  12. mandevuclassic

    Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

    [emoji23][emoji23] watoto wa siku hizi wachafu sana.. jimmy atakuwa alikua anapiga..ila na katoto kamalaya sana tu.!
  13. mandevuclassic

    Kuweka mlango wa mbao wa mbele bila kuweka mlango wa grill ikoje kiusalama?

    Wezi wapo mtandaoni, ujambazi uliobaki ni wa kuua tu.!
  14. mandevuclassic

    Gharama za kuunganishiwa umeme ukiwa mita 30-120 toka nguzo ilipo ni kiasi gani?

    Gharama za kujiunga umeme ukiwa mia 30-120 toka nguzo ilipo ni kiasi gani?
Back
Top Bottom