Recent content by Mandazi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tuliofeli kidato cha 4 tukutane hapa

    Unachanganya sana maboya! Hujui kitu! SAS baada ya Baba yao kufariki,walikua na Malori yameandikwa SAS pale mwendakulima karibu na Buzwagi! Siku hivi kuna lori hata moja lipo hapo?? Niambie siku hizi Malori yao yanaitwaje?? Huwezi pata pesa nyingi kwenye kukodisha godown kama walivyo kua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tuliofeli kidato cha 4 tukutane hapa

    Sawa mkuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuliofeli kidato cha 4 tukutane hapa

    Kuna tofauti kubwa sana mwenye Elimu asiye na pesa na mwenye pesa asiyekua na Elimu! FYI! Ni kwamba tunasoma sio lengo letu kupata pesa,lengo ni kua na exposure ya maisha,kuweza kuendesha maisha in the soft way,tofauti na wewe unadhani kusoma ni kuja kua na pesa au tariji mkubwa! FYI! Ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiomjua, huyu ndio mtoto pendwa wa Rais mstaafu Benjamin Mkapa

    Kabisa mkuu! Hivi unadhani Rizmoko aombe kuingia Ikulu,na Jakaya bado awe Hi,unadhan atashindwa nini?? Maji hufata mkondo kweli
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiomjua, huyu ndio mtoto pendwa wa Rais mstaafu Benjamin Mkapa

    Yaani tabu sana!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiomjua, huyu ndio mtoto pendwa wa Rais mstaafu Benjamin Mkapa

    Kikwete katoka familia yakimasikini?? Hujui kitu! Baba yake Kikwete alikua DC enzi za ukoloni huko! Magu kabebwa sana na Benjamin Mkapa! Benjamin Mkapa kabebwa na Nyerere, Mwinyi kabebwa na Nyerere! Usiwe unaongea mambo usiyoyajua!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kufuru michango ya harusi ya Dida, mazito yaibuka...

    Moja ya wasanii wa bongo movies nitaowachukia ni Aunty Ezekiel! Huyu mama kwa ujinga ujinga ndiyo anaongoza,anapenda maisha ya juu,wakati kichwani ni empty! Hivi kwa maisha gani aliyona hadi atoe mchango wa 4M?? Hiyo laki 2,ukute hajalipa bado!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Hoyce Temu katika ulimwengu wa Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa

    Ana fanya biashara gani??
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Hoyce Temu katika ulimwengu wa Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa

    Unaweza tueleza kipi kilimtoa UN?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kuhusu uchunguzi wa mabadiliko klabu ya Simba

    [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
  11. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kuhusu uchunguzi wa mabadiliko klabu ya Simba

    Tulisema hapo zamani sana kwamba Mwamedi ni janja janja sana Sasa mambo yameanza kua ya moto
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Trump alipoteza uchaguzi?

    Obama alitaka kuivamia kijeshi Syria Bunge likakataa, Libya ni Ufaransa na NATO ndiyo walifanya yao! Kuna ndege hata moja ya Marekani ilikua inafanya uharifu Libya au wanajeshi wa Marekani walikua Libya wakifanya Uhalifu?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Trump alipoteza uchaguzi?

    Obama alitawala miaka 8 yote kwa terms mbili,Je wapia aliipeleka Marekani kwenye vita? Wapi alichonganisha Marekani na Taifa jingine??
  14. M

    JamiiForums Tanzania PM Kassim Majaliwa piga kazi, achana na ndoto za Urais, umemponza SG Dk. Bashiru Ally

    Je atafika tano bora?? Nchimbi,Kimbisa na Sofia Simba si walikua kambi ya Lowasa,na ndio hawa walipinga hadharani uteuzi wa Jiwe?? Hee he he! Subiri uje uone rangi ya jiwe ilivyo!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

    Ila nasikia wachaga wa Rombo sio Palestinian! Sijui ni kweli hili! Wao wana roho nzuri,sio mbaya sana
Back
Top Bottom