Kaka wewe Ni wa Nuruni lakini unaishi maisha ya Gizani tena ukiwa huna mashaka kabisa hayo sio maisha ambayo Mungu anataka uishi hapa Duniani mgeukie Mungu akurehemu,akusamehe uanze maisha kwa upya katika Nuru na ukiwa katika hiyo Nuru atazidi kukuonyesha mengine yanayokufanya ushindwe...
Solution ya kweli Ni kusolve hizo changamoto usizotueleza lkn hiyo solution yko unayoombea ushauri Ni ili ikupe furaha ya muda mfupi inategemea inaweza ikawa ya wiki miez mwaka lkn Ni ya muda kabla hayajaja maumivu makubwa kuliko hayo ya sasa.Ushauri wangu mimi Ni kwamba Mkaribishe Mungu...
Mm naona kwa sasa upinzani upo kwa ajili ya rika mbali mbali kujifunza na kupata uzoefu wa siasa lkn c kushinda uchaguzi na kuchukua madaraka kwa sababu ata ktk Mpira France vs USA ili mechi iwe fair marefa na Washika vibendera wanatoka nchi tofauti na hao wanaokutana,na sasa wameongeza na goal...
Mimi kwa mtazamo wangu si lzm iwe hivyo "Naona kwamba Uchafu wa mawazo yako unawezekana kutoka lakini mazingira yako bado Ni kizuizi yaan mazingira unayo ishi au kukaa muda mwingi yanafanya uendelee kuwa na uchafu wa mawazo".
Umenikumbusha mbali kuna safari moja nilipanda treni, vituo kama 2 kabla ya kufika Mlimba kichwa cha tren kikataka kuwaka moto hivyo ikabidi wakitenganishe na mabehewa hivyo watu wote walishuka chini kwa mshtuko. Kusolve ikabidi waende kufuata kichwa kingine Mlimba basi tulikaa muda mrefu sana...
RIP sikujua kwamba mpaka miaka hii alikuwa anafundisha mm nilisoma kwake miaka ya 1998 mpaka 2000 pamoja na kwa Babangida.Sijui Alisoma wapi yule ile physics
Binadamu yatupasa Kumcha Mungu, kumtegemea Mungu hapa Duniani na Ni yeye aliyewaunganisha wanandoa wawili lkn Mungu baada ya kuwaunganisha anasema uko katika ndoa yenu yeye atakuwepo, baada ya kuwaunganisha pia anasema ANACHUKIA kuachana isipokuwa kwa sababu ya uasherati na kama kitu Mungu...
Mkuu wewe shukuru mambo yalienda vizuri lakini hao jamaa kila ukienda Wa nakwambia upelelez unaendelea na kila ukienda uwaboost ndo wanachangamka kwa muda zikiisha wanasinzia wanasubir booster nyingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.