Tukutane hapa wale mliowahi kuibiwa magari, bajaji, pikipiki na vitu vingine na mkavipata

makenze

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
356
217
Mimi binafsi nishaibiwa mara kadhaa ila njia ya polisi haikuwahi nisaidia kabisa.

Sasa kuna rafiki yangu aliibiwa pikpik akaenda kwa mtaalamu, pikpik ikaganda huko Tanga na iliibiwa Dar, akaifata akaikuta stend jamaa anashindwa kuitoa.

Leo jirani kaibiwa bajaji kiukweli nimeshindwa kumsajestia hii njia ya huyu rafiki yangu maana mimi kiukweli pia waganga siwaamini kabisa.

Japo nina ushuhuda mmoja wa huyo wa pikpk. Nikiibiwaga namuachia Mungu tu.

Ushawahi ibiwa kitu ukakipata? Ulitumia njia gani?
 
Very sad nikiikumbuka hii stori nikimkumbuka kijana wangu Juma
Nilinunua pikpik mpyaaa nikamkabidhi kijana wang Juma aendeshe bodaboda awe ananiletea hesabu kila wiki. Kiukwel kijana wang hakuwahi kusumbua hata siku moja. Kila mwisho wa wiki alileta hesabu kamili
Miezi mitano tangu nimenunua ile bodaboda kijana wangu Juma aliuawa kikatili sana na pikpik kuibiwa hadi leo sijaipata nmevakiwa na kadi tu ndani.
Nyie wezi kama shida yenu ilikua pikpik mngechukua mniachie kijana wangu. Ona sasa nmepoteza vyote
Sijaipata tena ile pikpik na kiukweli njia nyingne za kitaalam nilikua sijawahi kufikiria
Kila nikikumbuka hua naumia sana, mali zinatafutwa lakin Uhai wa mtu ukiondoka ndo basi tena
R.I.P Juma nakukumbuka daima
 
Pole sana.
Hata njia za kitaalam mara nyingi wanadanganya tu.
Yaan binafsi sijawah kushuhudia mtu anasema alipata vitu.
Ila kwa nini walimuua? Dah aisee
 
Mimi binafsi nishaibiwa mara kadhaa ila njia ya polisi haikuwahi nisaidia kabisa.

Sasa kuna rafiki yangu aliibiwa pikpik akaenda kwa mtaalamu, pikpik ikaganda huko Tanga na iliibiwa Dar, akaifata akaikuta stend jamaa anashindwa kuitoa.

Leo jirani kaibiwa bajaji kiukweli nimeshindwa kumsajestia hii njia ya huyu rafiki yangu maana mimi kiukweli pia waganga siwaamini kabisa.

Japo nina ushuhuda mmoja wa huyo wa pikpk. Nikiibiwaga namuachia Mungu tu.

Ushawahi ibiwa kitu ukakipata? Ulitumia njia gani?
...Mkuu, hiyo pikipiki uliiona kwa macho yako ikiwa imeganda Tanga, ama jamaa yako alikusimulia tu? Ulihakikishaje kwamba sio amekupa tu kikombe cha Chai ya rangi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boda boda wanauliwa sana.
Wapumzike kwa amani bodaboda woteee walotangulia mbele ya haki bila makosa
Kuna baadhi ya binadamu Wana roho nyeusi hazitakati hata kwa jiki....wanawaumiza vibaya bodaboda kwa kuchoma tumbo kwa bisibisi mwishoni wanatoboa na macho dah inahuzunisha
 
Mimi binafsi nishaibiwa mara kadhaa ila njia ya polisi haikuwahi nisaidia kabisa.

Sasa kuna rafiki yangu aliibiwa pikpik akaenda kwa mtaalamu, pikpik ikaganda huko Tanga na iliibiwa Dar, akaifata akaikuta stend jamaa anashindwa kuitoa.

Leo jirani kaibiwa bajaji kiukweli nimeshindwa kumsajestia hii njia ya huyu rafiki yangu maana mimi kiukweli pia waganga siwaamini kabisa.

Japo nina ushuhuda mmoja wa huyo wa pikpk. Nikiibiwaga namuachia Mungu tu.

Ushawahi ibiwa kitu ukakipata? Ulitumia njia gani?

Mi nimeibiwa gari, tena bomba sana.
Imerudi tena poa kabisa.
Polisi ni kiboko wakiwezeshwa tena utawafurahia.
Wanafanya kazi balaa!
Tatizo si kwamba polisi wetu hawafanyi kazi, hawana fedha za kufanyia kazi na kufanya uchunguzi wa kina.
Wewe wawezeshe ,hakuna kitu kitapotea na kutopatikana chini ya jua.
 
Sidhani km alijaribu kupambana nao. Kijana wang alikua hana uwezo huo labda hao Washenzi waliona wakimuacha ataenda kuwataja(labda anawajua) mana walimchukua kijiweni kwake km mteja tu
Mbaya zaidi walimtoboa adi macho. Very sad

Inawezekana kwa asilimia mia alikuwa anawajua. Tena wapo hapo hapo kijiweni. Na walimtoboa macho ili kuepusha endapo angepimwa macho wangejulikana! Binadamu wa ajabu sana, unamuua mwenzio sababu ya pikipiki!!! hiyo pesa waliyopata imewafikisha wapi. Mungu na awaaadhibu hapa hapa duniani.
 
Mi nimeibiwa gari, tena bomba sana.
Imerudi tena poa kabisa.
Polisi ni kiboko wakiwezeshwa tena utawafurahia.
Wanafanya kazi balaa!
Tatizo si kwamba polisi wetu hawafanyi kazi, hawana fedha za kufanyia kazi na kufanya uchunguzi wa kina.
Wewe wawezeshe ,hakuna kitu kitapotea na kutopatikana chini ya jua.
Mmmh polis wa mkoa gan hao?
 
Sidhani km alijaribu kupambana nao. Kijana wang alikua hana uwezo huo labda hao Washenzi waliona wakimuacha ataenda kuwataja(labda anawajua) mana walimchukua kijiweni kwake km mteja tu
Mbaya zaidi walimtoboa adi macho. Very sad
Mmmhhh very sad..wezi ni washenZi
 
Mi nimeibiwa gari, tena bomba sana.
Imerudi tena poa kabisa.
Polisi ni kiboko wakiwezeshwa tena utawafurahia.
Wanafanya kazi balaa!
Tatizo si kwamba polisi wetu hawafanyi kazi, hawana fedha za kufanyia kazi na kufanya uchunguzi wa kina.
Wewe wawezeshe ,hakuna kitu kitapotea na kutopatikana chini ya jua.
Mi nimeibiwa gari, tena bomba sana.
Imerudi tena poa kabisa.
Polisi ni kiboko wakiwezeshwa tena utawafurahia.
Wanafanya kazi balaa!
Tatizo si kwamba polisi wetu hawafanyi kazi, hawana fedha za kufanyia kazi na kufanya uchunguzi wa kina.
Wewe wawezeshe ,hakuna kitu kitapotea na kutopatikana chini ya jua.
Mkuu wewe shukuru mambo yalienda vizuri lakini hao jamaa kila ukienda Wa nakwambia upelelez unaendelea na kila ukienda uwaboost ndo wanachangamka kwa muda zikiisha wanasinzia wanasubir booster nyingine.
 
Mimi niliwahi kuibiwa bike nikapotezea lakini Mungu si Abdallah siku moja baada ya miezi kadhaa nikakutana na mtu town anaendesha bike yangu japo ilishakuwa pimped kimtindo. (Cha mtu chake tu, nilipoiona niliijua bike yangu).

Uzuri jamaa hakuwa mbishi nikampeleka kituoni akataja aliempatia tukaondoka na askari kwenda kumsaka akawa ameshatonywa akakacha.

Mzee wangu akashauri tuchukue bike tuondoke yule jamaa tukamwacha kule kituoni amalizane nao sijui walimfanyaje, ila nahisi kama aliwapa jax kidogo walimwachia.
 
Mimi binafsi nishaibiwa mara kadhaa ila njia ya polisi haikuwahi nisaidia kabisa.

Sasa kuna rafiki yangu aliibiwa pikpik akaenda kwa mtaalamu, pikpik ikaganda huko Tanga na iliibiwa Dar, akaifata akaikuta stend jamaa anashindwa kuitoa.

Leo jirani kaibiwa bajaji kiukweli nimeshindwa kumsajestia hii njia ya huyu rafiki yangu maana mimi kiukweli pia waganga siwaamini kabisa.

Japo nina ushuhuda mmoja wa huyo wa pikpk. Nikiibiwaga namuachia Mungu tu.

Ushawahi ibiwa kitu ukakipata? Ulitumia njia gani?
Kwahiyo kama huamini wadhani ni kitu gani kilichoigandisha hiyo pikipiki Tanga?
Huamini alafu unasema una ushuhuda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very sad nikiikumbuka hii stori nikimkumbuka kijana wangu Juma
Nilinunua pikpik mpyaaa nikamkabidhi kijana wang Juma aendeshe bodaboda awe ananiletea hesabu kila wiki. Kiukwel kijana wang hakuwahi kusumbua hata siku moja. Kila mwisho wa wiki alileta hesabu kamili
Miezi mitano tangu nimenunua ile bodaboda kijana wangu Juma aliuawa kikatili sana na pikpik kuibiwa hadi leo sijaipata nmevakiwa na kadi tu ndani.
Nyie wezi kama shida yenu ilikua pikpik mngechukua mniachie kijana wangu. Ona sasa nmepoteza vyote
Sijaipata tena ile pikpik na kiukweli njia nyingne za kitaalam nilikua sijawahi kufikiria
Kila nikikumbuka hua naumia sana, mali zinatafutwa lakin Uhai wa mtu ukiondoka ndo basi tena
R.I.P Juma nakukumbuka daima
Pole sana mkuu kwa kumbukumbu mbili za kuumiza ndani ya kumbukumbu moja.
Hao wezi mwisho wao unakuwaga si mzuri, wengi hufa kwa kuchomwa moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niliwahi kuibiwa bike nikapotezea lakini Mungu si Abdallah siku moja baada ya miezi kadhaa nikakutana na mtu town anaendesha bike yangu japo ilishakuwa pimped kimtindo. (Cha mtu chake tu, nilipoiona niliijua bike yangu).

Uzuri jamaa hakuwa mbishi nikampeleka kituoni akataja aliempatia tukaondoka na askari kwenda kumsaka akawa ameshatonywa akakacha.

Mzee wangu akashauri tuchukue bike tuondoke yule jamaa tukamwacha kule kituoni amalizane nao sijui walimfanyaje, ila nahisi kama aliwapa jax kidogo walimwachia.
Una bahati sana
 
Mkuu wewe shukuru mambo yalienda vizuri lakini hao jamaa kila ukienda Wa nakwambia upelelez unaendelea na kila ukienda uwaboost ndo wanachangamka kwa muda zikiisha wanasinzia wanasubir booster nyingine.
Ndo zao ndo maana nikamuuliza ni polisi wa wap?
 
Back
Top Bottom