Tujikumbushe tuition za ukweli enzi hizo tukiwa madenti

...ebwana Mkuu umenikumbusha hom enzi ya AZABOY ya 1999/2002,chini ya Baba Kwayu,Mchwampaka,Mkongo,Msafiri mzee wa Kiswahili,etc..,ila wengineo enzi zile ninaowakumbuka ni OCTAVIAN JAVERTY,CHARLES MICHAEL,MARTIN NTABAJANA,ISMAIL''SUMA'',GIBONCE SIMULE,SHOMARI,ISAACK,ISSA MWIKALO,GIBONCE ANTHONY,ELZEUS MELCHIOR,etc..

1)''..let us end here at zis particular conjuncture,bkoz tm is aproachin at infinity,2moro we wil continue wiz ANGULAR MOTION..,huyo ni.........,jembe la PHYSICS!!!''
2)''..haaya,amunje amunje,akabraket,akamainaz kisha akaplas,huyo ni.........,jembe la NAMBA.''
3)''..madogo hebu acheni zenu,REPRODUCTION NI TOPIC NGUMU SANA,huyo ni.......,jembe la BIOLOGY baada ya NGIDA kutokuwa fresh kiafya.
Adavance namkumbuka MKANDAWILE-Chemistry,MAKUMAKU-Bios,BUSANJI-Physics..,hawa jamaa walisaidia wengi sana kutoka A-LEVEL.
mkongo alikuja kuwa mwalimu mkuu shule hii..kisarawe lutheran junior seminary nadhani mpaka leo bado ni mkuu wao
 
*Viva viva ZE ' COMMISSIONER...MUDDY PHYSICS...Huyu jamaa kabla sijaonana nae pale mchkdown na hata baada ya kuonana nanae mpaka Leo sijawh ona Teacher ambae anatoa Amazing Lecture kama yeye...Mungu aendelee kumbaliki mana kupitia yeye nimeelekeza vijana wengi mno..nakumbu A-level maisha yalikuwa tight jamaa akajitolea kutupigia pindi la bure mida ya jion..
 
Hidden (Maths), Mbuga (chem+bios),Moody phyz commissioner(phyz),Dr Ommy(Geog),Man Fizo (geog+hist),Mwarami (Maths),Mgote(phyz) aisee mchikichini kulikuwa na maticha majembe sana afu wote wakali sijui wamepotelea wapi saivi
 
*Viva viva ZE ' COMMISSIONER...MUDDY PHYSICS...Huyu jamaa kabla sijaonana nae pale mchkdown na hata baada ya kuonana nanae mpaka Leo sijawh ona Teacher ambae anatoa Amazing Lecture kama yeye...Mungu aendelee kumbaliki mana kupitia yeye nimeelekeza vijana wengi mno..nakumbu A-level maisha yalikuwa tight jamaa akajitolea kutupigia pindi la bure mida ya jion..
Yaaman
 
Jambo nsiloweza kuweza kusahau n jins nlivojituma mchikichin kwa aiden na jerry (ticha wa BIOS na chemi)) nlikuwa azaboy .....nliexpect mm ndio t.o na nlikuwa na kila kitu ...mpka Leo huwa najiona mm ndio T.O ....ila nlivyoumwa mda mrefu maradh ya kichwa ambacho ilishndwa julikana n tatzo gan ....one ya kumi .....ndo nlikuwa ya kwanza Azania .....sitosahau mpka Leo naumia ....genius mimi
 
Jambo nsiloweza kuweza kusahau n jins nlivojituma mchikichin kwa aiden na jerry (ticha wa BIOS na chemi)) nlikuwa azaboy .....nliexpect mm ndio t.o na nlikuwa na kila kitu ...mpka Leo huwa najiona mm ndio T.O ....ila nlivyoumwa mda mrefu maradh ya kichwa ambacho ilishndwa julikana n tatzo gan ....one ya kumi .....ndo nlikuwa ya kwanza Azania .....sitosahau mpka Leo naumia ....genius mimi
Mwaka gani?pole sana
 
Wakati uleeee tukisoma, kulikuwa na Tuition moja ipo pale Mwenge nyuma ya Nakiete Phamacy (MAPAMBANO TUITION CENTRE) Nakumbuka kipindi kile wanafundisha wakina Selemani matipa, Magnus kibonde a.k.a P Didy, Mussa Detebha na wengine wengi nimewasahau, kwanza tulianzia pale karibia na Magorofa ya jeshi Mwenge kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mzee Chilumba ndo tukahamia nyuma ya Nakiete Phamacy. Enzi hizo vijana tulikuwa tunasoma si mchezo, kwanza palikuwa na ushindani wa shule kwa shule ili shule yako iwe ya kwanza lazima ushike No. 1. Palikuwa hapatoshi jamani siku ya pepa. Kipindi hiko Makongo ipo chini ya Kipingu, ilikuwa makongo ya ukweli si kama ilivyo sasa Palikuwepo na vijana kama Kamna Shomari, Alex mavika, Daudi Bupilipili, Pale Forodhani nawakumbuka wakina Shabani kingazi kwa sasa ni dr, Big Noise, Jangwani namkumbuka Nanzoke Mvungi sijui yuko wapi, Mzumbe namkumbuka Benjamini kamala kwasasa ni dr, Loyola namkumbuka Mtabazi, Azania nimewasahau, kibasila nimeawsahau ila walikuwepo sana tu pamoja na zanaki, Watu walikuwa wanajituma kichizi, Tegeta namkumbuka Datius Mshala kwasasa ni pirot! Azania ilikuwa si mchezo, Pugu nao walikuwepo, Kibasila. Forodhani, Kisutu, Jangwani, Royola, Tegeta na Jitegemee kwa mbali ingawa walikuwa wanakimbia pepa kwa sana. Namkumbuka mdada mmoja wa jangwani alikuwa anaitwa Nanzoke alikuwa ni noma kwa Mathematics! Makongo ilikuwa inabebwa na vijana wa pure mathematics. Kimbembe kilikuwa wakati wa likizo, wakija wale waliobalikiwa kiakili yaani Mzumbe, Ilboru na Kibaha + Tabora Boyz. Hawa jamaa tulikuwa tunashindana nao mpaka kinaeleweka ingawa kiukweli walikuwa juu sana. Kwa sasa nashangaa vijana hawajitumi wanafeli kila kukicha, hakuna ushindani tena baina ya shule na shule! Enzi zetu tulikuwa tunasoma si mchezo jamani ndo maana tupo hapa tulipo au wewe ulipo au nakosea?

Ebu na wewe tukumbushe Tuition yako, bila kusahau zile za ubungo, Mchikichini nk.

Naomba kuwasilisha.
Datus huyo pilot alinifundisha physics advance the guy anajua alinifanya nijue
 
Si
Najuta kwanini nilichelewa kuingia Jamii forum, kuna raha ya ajabu. Mnanikumbusha mbali sana, mimi nataja tuisheni za shule ya msingi kwa kuwa mliotangulia mmetaja tuishweni zote za sekondari. Mitaa ya Sinza kuna ticha alikuwa anaitwa MT (Mtaalam) huyu alipata sifa sana ya kufaulisha wanafunzi wa darasa la saba. Mitaa ya Mburahati kuna ticha alikuwa anaitwa Dan, nae huyu alikuwa noma.Alikuwa na uwezo wa kumpandisha mwanafunzi kutoka maksi 20/50 akakuwezesha hadi ukapata fisi (50/50). Mitaa ya Mabibo kulikuwa na ticha aitwae Ibunga Boni, ngoja niwape mikasa ya huyu mtu. Huyu ticha alishawahi kugombana na ticha mwenzake(MT) baada ya kutunga swali la kumkashifu kwenye mtihani. Mkasa mwingine wa huyu ticha ni kwamba alishawahi kumpa ujauzito mwanafunzi wake na skendo hii iliwahi kutoka kwenye gazeti la Alasiri. Wazazi wa yule binti wakamsusia bwana Ibunga na akajichukulia mzigo kiulaini. Pamoja na mikasa yote hii huyu ticha alikuwa na sifa moja kubwa. Alikuwa mtaalamu wa kutunga mitihani ya kila wiki yenye ubora wa hali ya juu. Kingine ninachokumbuka alikuwa anawandikia wanafunzi wanaofaulu mitihani kwake shule za sekondari watakazokwenda. Mfano anakuandikia utakwenda Azania,mbinu hii ilimsaidia kupata wanafunzi wengi wanaofanya mitihani kwake. Kwa wanafunzi waliosoma shule za msingi za Manispaa ya kinondoni watakuwa wanawakumbuka sana hawa watu.
walikuwa maarufu sana japo sikuwai kusoma kwao lkn mitihani Yao ilitusaidia.Walikuwa na mbwembwe mara' Ibunga's law'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom