Recent content by mancon

  1. M

    Selcom Pesa ulikuwa wapi wakati watanzania tunapigika vikali pasi na huruma?

    Huduma za kwa wateja ni janga sana hawa Selcom !! wajirekebishe
  2. M

    Mfumo wa Nest jaribuni kupunguza gharama za malipo mnaumiza wazabuni wenu na nyiwe wenyewe

    Kwenye bajeti ya Wizara ya Fedha ya mwaka 2025/26, Waziri amesema Kuna changamoto ya Wadau kutoutumia mfumo wa NeSt ipasavyo. Basi, ni vyema wahusika wabaini sababu za mfumo kutotumika na wazishughulikie.
  3. M

    Watu wa NIDA wana majibu ya hovyo jamani..

    Ni kweli kabisa. Inasikitisha sana
  4. M

    TRA na Taxpayer Portal

    Pia, kuna mfumo ndani ya Taxpayer Portal - wa kusajili na kubadili umiliki wa magari, nao una shida nyingi sana. Tangu jana najaribu kubadili umiliki lakini mfumo haueleweki, mara unaleta error. Wahusika inapaswa wauangalie tena. Haiwezekani, kubadili tu umiliki kuwe 'complicated' kama ilivyo sasa.
  5. M

    Yanga yadondokea pua CAS, dabi ipo palepale

    Shida Yao ni Wanasheria wao ...
  6. M

    Serikali ya Tanzania yaondoa zuio la Mazao ya Kilimo kutoka Malawi

    Uamuzi unaohusu nchi na nchi unapaswa ufanyike Kwa umakini bila jazba na baada ya kujadiliwa vya kutosha !!! ...
  7. M

    Toyota corola Axio ya 2009 imekaa mwake sana

    Kama Kuna mtu anahitaji, let me know. Iko namba D inauzwa. Iko kwenye hali nzuri sana
  8. M

    Toyota corola Axio ya 2009 imekaa mwake sana

    Ni gari nzuri sana kama hutaki stress za magari.
  9. M

    Programmers na Wanaopenda Programming Tukutane Hapa!

    Wengi wanaulalamikia. Hopefully utakuja kukaa sawa
  10. M

    Faida za kuwa na kibali cha ujenzi

    Vp kama Nikitaka kujenga fensi wakati najipanga, ni document Gani inahitajika kuombea kibali ? Ramani ya nyumba pia au ?
  11. M

    Prof. Mohamed Janabi Miongoni mwa Wagombea wa Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika

    CV ya Candidate wa Côte d'Ivoire imeshiba kweli kweli !!!
  12. M

    Wanasheria wa Yanga wamewadanganya mashabiki wao kuwa kuna "miongozo ya kanuni"

    Sahihisho dogo: Ni Kanuni 34:1(1.3).
  13. M

    Tathimini: Uzinduzi wa Sera Mpya ya Taifa ya Ardhi na Dhamira ya Rais Samia

    Kuna mwenye hiyo Sera ya Taifa iliyozinduliwa ?
  14. M

    Uzinduzi wa sera ya ardhi ya taifa ya mwaka 1995 toleo la mwaka 2023

    Sera ya Taifa ya Ardhi iliyozinduliwa inapatikana wapi ? Nilitegemea ingewekwa kwenye website ya Wizara yaArdhi, lakini naona haijawekwa !!!
Back
Top Bottom