TRA na Taxpayer Portal

TRA na Taxpayer Portal

shida ni hizo za nyuma inakuwaje?

Pia rate yako kwa mwezi ni sh ngapi? Kwa filing ya kodi zote...
Ni CPA wewe, au muhuri unaenda gongea?
Kufile returns kama VAT, SDL, PAYE, sio mpaka uwe CPA holder, ila kwa Return of Income (ROI) ndo unatakiwa uwe certified na NBAA.

Huyo unamu-appoint tu kama declarant ila siku ukitaka kuandaa Audited Financial Statements ndo unatafuta mtu anayetambulika (Auditing Firm)
na bodi.

Na hizo kodi za nyuma unatakiwa utafute mhasibu au Tax consultant a file objection kwa Commissioner General ili uanze vizuri.

Kumbuka: Late filling au unfilled taxes ni (225,000Tsh per Months)15 currency points kwa corporate na (75,000Tshs) 5 currency points kwa individual. Hata kama hakuna biashara yoyote unafanya file nill return.
 
Pia, kuna mfumo ndani ya Taxpayer Portal - wa kusajili na kubadili umiliki wa magari, nao una shida nyingi sana. Tangu jana najaribu kubadili umiliki lakini mfumo haueleweki, mara unaleta error. Wahusika inapaswa wauangalie tena. Haiwezekani, kubadili tu umiliki kuwe 'complicated' kama ilivyo sasa.
 
Back
Top Bottom