Recent content by ManchoG

  1. ManchoG

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaoamini uwepo wa Mungu na kukataa dini yake je , uovu na shari mnatambuaje ?

    Kwa majibu kama haya Itoshe kusema Kuna nati zimelegea kichwani Na inaonesha ni ajenda ya makusudi muwe Vilaza
  2. ManchoG

    JamiiForums Tanzania Familia ya Urassa yakataa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao wakati wa mazishi

    Niliwahi kwenda kwa msiba wa wazigua mpaka basi la kusafirishia maiti mwenyekiti wa maokoto ni mwanamke Kaskazini ni hovyo kabisa.. Wachaga Wazigua Wapare Wasambaa Wote mwanamke ndio kinara wa nyumba upuuzi mtupu
  3. ManchoG

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

    Haya kakojoe ukalale
  4. ManchoG

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu hii inaruhusiwa kidini?

    Walinde nini wakati kila kitu maustadh wameshakula
  5. ManchoG

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

    Hivi Kuna vyeo humu.! 😎 Dada Nisamehe ni ndoto yangu kuwa mpiga Mop kwa hofisi za Mello ntu Na Nusu.!
  6. ManchoG

    JamiiForums Tanzania Video: Trafiki akimpiga dereva wa roli mkoani wa Njombe

    Kwanini afukuzwe
  7. ManchoG

    JamiiForums Tanzania Video: Trafiki akimpiga dereva wa roli mkoani wa Njombe

    Kaghadhibika Nimefurahi alipovua kofia na kutambia si kisa sare nakueleza haya kuwa na adabu fala we man 2 man bado nweupe tu 🤭 Nasimama na yangeyange
  8. ManchoG

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

    Hoja gani.? Yani huyu Bwege nimjibu kwa hoja wakati mleta viroja.! We unadhani bibi zenu wangezingatia Kelbu kwa Uzito nyie mngekuta hata wasifu wao.? Kwamba wewe nyoge bint Nyozo wa Gugeni.! Hamna akili Bibi zenu walikuwa wakipigwa Kelbu anajiuliza wapi kakosea akakomoe mtu kwa bed.! 🤭 Nyie...
  9. ManchoG

    JamiiForums Tanzania Familia ya Urassa yakataa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao wakati wa mazishi

    Kumbe na wewe Ukiacha kushadadia ufenism unakuwa mtu
  10. ManchoG

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

    Hapana me niko kwa fact yeye analeta hisia
  11. ManchoG

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

    We una Pepo la u feminism
  12. ManchoG

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

    We bhana.. kusema kuna pepo la taifa linaandama labda tupo pamoja.. Maana damu imemwagika shekhe.! Mimi nimesikiliza na kuamini kabisa Wife akitongozwa na Mume wa mtu kwa phone ..!? Bora hata angekuwa boda au mla skanka ningesema uchu umemponza wife labda sifanyi vizuri na ningemsamehe.🤔 Eti...
  13. ManchoG

    JamiiForums Tanzania Mwenza kilaza.

    Mimi nimeishi na mke wa namna hii kwa miaka mingi Ila uvumilivu niliuweza kwakuwa mahusiano yalikuwa ya mapema na nilihofia kutengena nae kwa ajili ya watoto ila walipojitosheleza kwa umri Sikuchelewa nikapiga chini Aina hii ya watu inapatikana sana kwa malezi ya kidini hasa waliolelewa na...
  14. ManchoG

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa kugeuka laana

    Acheni kuwa wasemaji wa ndoa wakati hamjaoa
  15. ManchoG

    JamiiForums Tanzania SGR INAHUJUMIWA......

    Adui wa masikini ni masikini mwenzie NB: Masikini wana Roho mbaya sana
Back
Top Bottom