Habari yako FaizaFoxy!
Kuna kero moja mie inanisumbua nayo ni pale wanasiasa wanapotumia nafasi zao Bungeni au kwenye hadhara kutukana na kutupiana vijembe badala ya kutoa hoja zitakazosaidia kujenga nchi. Viongozi wa ngazi zote wasipoteze muda kutupiana maneno machafu ya kukwaruzana, badala...
NAMNA YA KUPATA USINGIZI MZURI
1. Lala kwenye chumba chenye ubaridi kidogo - Usiku dunia huwa inapoa wakati mchana inapata joto zaidi. Ubaridi unasaidia kuleta usingizi mzuri.
2. Lala kwenye chumba kilicho na giza la kutosha/usiwashe taa chumbani - Usiku dunia (asili) huwa ina mwanga...
God Hate Abortion!
Hiyo mimba ni kiumbe kilicho hai, ukiua wewe ni MUUWAJI! Hebu wewe ungeuwawa wakati ukiwa tumboni mwa mama yako tungekuona leo? Hata aibu huna! Utaombaje ushauri wa kuua mtu! AIBU! AIBU! AIBU!
TABIA MBAYA! TABIA MBAYA! TABIA MBAYA! YA UUWAJI! ACHA KABISA!
Poole Queen Horse,
Kwanza wasamehe bure waliokutukana badala ya kuleta hoja na kuzitetea. Mimi nakushauri mawili ukiweza.
1. Mtokee huyo rafiki yako umwambie ukweli wote. Atashtuka mwanzoni ila umwambie, kama anaenda huko basi ajue kukoje. Mwisho wa siku utakua umemponya na kupatwa na mshtuko...
Hii mada ni nzuri na ina ukweli. Kwenye Biblia tunapewa majibu juu ya hili. Kuna aina mbili za maisha baada ya kifo.
1. Mtu anayekufa akaenda mikononi mwa Mungu ("Ufunuo 13:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate...
"Mithali 16:32Ni afadhali mtu mstahimilivu kuliko shujaa, mtu anayeitawala hasira yake kuliko yule autekaye mji."
- Mtu anayeweza kuizuia hasira, mbali na kufanyiwa vitu vya aibu na dharau, maandiko matakatifu yanampa dalaja la juu kupita shujaa, na kupita komandoo. HASIRA, ikikutawala unaishia...
Every Human being is 3 in 1. That is he has a SPIRIT, SOUL and BODY.
The Spirit and Soul are eternal, they never die. But the Body is given time to live. Death is when your Spirit & Soul leaves the body.
The Bible says what will benefit a man if he get the whole world and loses his own soul...
15 Excellent Home Remedies For Saggy Breasts
Every woman out there loves to have perfectly shaped breasts and wants them to remain that way throughout her life. Sadly, that doesn't happen in most cases. Breast sagging is a natural process wherein the breasts lose their suppleness and...
Yaani hiyo ndio mtambo wa kupunguza tumbo. Ndio maana nikakwambia kabisa kwamba siku ya 3-5 wakati unaendelea kusukuma nyama ya tumbo itauma kiasi. Baada ya wiki inaisha. Hapo utaanza kuona tumbo linawa flat screen.
Siku za kwanza unaposukuma hako katairi kati ya siku ya 2-5 nyama ya tumbo itauma, lakini usiache. Endelea baada ya wiki litaacha. Kanafyeka tumbo vizuri sana na kukuacha ukiwa vizuri.
Hongera Sana!
Tafuta hako katairi ka kusukuma katakusaidia sana! Ni kifaa rahisi hakihitaji Gym, ila manufaa yake ni makubwa sana. Ukiweza sukuma dakika 7-15 unatoa jasho la kutosha. Kanajenga "Core Muscles".
Pole sana Dada! Hakuna aliyezaliwa na ujuzi, wote hujifunza. Kujifunza sio lazima ufanye rafu, ndio unaweza jifunza salama ukiiheshimu ndoa yako na kumcha Mungu.
Siku zote ukipitishwa kwenye tufani, ni mara baada ya kulishinda unaona uthamani wako. Hilo ulilonalo ni jaribu, lakini yakupasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.