Napenda kupiga push up

Napenda kupiga push up

masai dada hongera kwa kupenda mazoezi!!! Kwa unavyotaka, mazoez yatayokufaa ni kukimbia hili ni namba moja!!! Kuruka kamba na squats!!! Ila mkazo naeka kwenye kukimbia na kamba!!!
 
Last edited by a moderator:

kukimbia ni tatizo

ninaendesha kibaiskeli sasa hiv
 
Last edited by a moderator:
Mazoezi mazuri ni Kuruka kichura,kukimbia,kuruka kamba,kupiga pus ups hata km unahisi kuumia hiyo ni hali ya kawaida tu! baadaye mwili utazoea.Kwa ufupi kwa mazoezi yote Unapoanza ni lazima mwili Upate maumivu lkn baade unazoea vizuri kabisa.
 
Takwenyaaaa!!!!?

Ndugu zangu napenda sana kupiga mazoezi malaini asubuhi sio kwa ajili ya kupunguza mwili au kukata tumbo hapana,ni kwa ajili tu ya kuwa fit asubuhi kabla ya kwenda kusaka doo na jioni kabla sijapika kula na kufanya mambo mengine.

Tatizo ni kwamba napigia mazoezi ndani nasina vifaa vya gym nina kamba tu,tatizo mazoezi kama kujump na kuinuka na kukaa,kichura hayatoi jasho hata kidogo yaani, alafu yanapoteza muda na jasho utoi tangia pasaka niliwaza natakiwa nipate kazoezi kagum kidogo ila cha muda kidogo ambacho kinatoa jasho fasta ili nioge niwahi job.

Mweeee tangu jumatatu nikaanza kupiga push up hadi leo asubuhi baada ya kupiga moja tu nilitamani kuzimia kwa maumivu makali ya tumbo.yaani nyama za tumbo zinauma hapa sina hamu.

Naomba wadau tushauriane je niendelee na pushap maumivu yatapungua najua hilo lakini naogopa kupata six packs lol,ni kweli ukiendelea na hili zoezi unapata mgawanyiko wa mwili kama mwanaume maana hadi mikono inauma nisije nikawa kama john cena au daniel brian,,,

Jingine naomba kujua mazoezi gani nifanye yakunifanya kuwa fit msaada wadau

NB: Sikati tumbo wala kupunguza uzito nataka tu kuwa fit

Sijakuelewa,haukati tumbo wala kupunguza uzito,mazoezi automatically lazima ya-affect hivyo vitu viwili.
 
Hongera Sana!

Tafuta hako katairi ka kusukuma katakusaidia sana! Ni kifaa rahisi hakihitaji Gym, ila manufaa yake ni makubwa sana. Ukiweza sukuma dakika 7-15 unatoa jasho la kutosha. Kanajenga "Core Muscles".

Ab Wheel image3.png
 
Siku za kwanza unaposukuma hako katairi kati ya siku ya 2-5 nyama ya tumbo itauma, lakini usiache. Endelea baada ya wiki litaacha. Kanafyeka tumbo vizuri sana na kukuacha ukiwa vizuri.
 
Takwenyaaaa!!!!?

Ndugu zangu napenda sana kupiga mazoezi malaini asubuhi sio kwa ajili ya kupunguza mwili au kukata tumbo hapana,ni kwa ajili tu ya kuwa fit asubuhi kabla ya kwenda kusaka doo na jioni kabla sijapika kula na kufanya mambo mengine.

Tatizo ni kwamba napigia mazoezi ndani nasina vifaa vya gym nina kamba tu,tatizo mazoezi kama kujump na kuinuka na kukaa,kichura hayatoi jasho hata kidogo yaani, alafu yanapoteza muda na jasho utoi tangia pasaka niliwaza natakiwa nipate kazoezi kagum kidogo ila cha muda kidogo ambacho kinatoa jasho fasta ili nioge niwahi job.

Mweeee tangu jumatatu nikaanza kupiga push up hadi leo asubuhi baada ya kupiga moja tu nilitamani kuzimia kwa maumivu makali ya tumbo.yaani nyama za tumbo zinauma hapa sina hamu.

Naomba wadau tushauriane je niendelee na pushap maumivu yatapungua najua hilo lakini naogopa kupata six packs lol,ni kweli ukiendelea na hili zoezi unapata mgawanyiko wa mwili kama mwanaume maana hadi mikono inauma nisije nikawa kama john cena au daniel brian,,,

Jingine naomba kujua mazoezi gani nifanye yakunifanya kuwa fit msaada wadau

NB: Sikati tumbo wala kupunguza uzito nataka tu kuwa fit

Ha ha ha hamazoezi ya kukimbia kwa nguvu.
 
Siku za kwanza unaposukuma hako katairi kati ya siku ya 2-5 nyama ya tumbo itauma, lakini usiache. Endelea baada ya wiki litaacha. Kanafyeka tumbo vizuri sana na kukuacha ukiwa vizuri.

inapunguza tumbo??
 
Yaani hiyo ndio mtambo wa kupunguza tumbo. Ndio maana nikakwambia kabisa kwamba siku ya 3-5 wakati unaendelea kusukuma nyama ya tumbo itauma kiasi. Baada ya wiki inaisha. Hapo utaanza kuona tumbo linawa flat screen.
 
Maumivu kawaida yataisha, jogging ni poa kama umepitia JKT unakumbuka asubuhi na jioni ni tosha kabisa kwa afya. Aliselema .....
 
ila sitaki makkalio yangu wala hips zipungue hahaha
 
Maumivu kawaida yataisha, jogging ni poa kama umepitia JKT unakumbuka asubuhi na jioni ni tosha kabisa kwa afya. Aliselema .....
ila mkuu mimi ni mvivu kuamka asubuhi balaa yaani nitafanya kila kitu nyakati za jion ila asubuh ni changamoto
 
Daaah...ngojja nikutafute cha kwangu...mara ya mwisho nililiona stoo na panya wamekimegua megua kwenye tairi!! Kitambi nacho kimekuwa kama mimba ya mbuzi!!!
haaahahahaa pole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom