Sabuni ya unga inafanya kazi chukua sabuni ya unga changanya na maji halafu. Pulizia kwenye kunguni.. Utaona kunguni anavyokufa.. Anakufa style ya mbuzi kagoma[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. Si utani ndugu jaribu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1].eti wanakuchukia yote kwa yote hiyo dawa nimeielewa nimeijaribu wanadadedi aisee...
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Dah nataka nipost kidole changu fb baada ya kutoka kupiga kura nakuta haifunguki. Nikasema basi niende whatsaap na kwenyewe kimya. Nikaona niulize jamii forum jibu nimepata. Sijutii kuwa na jamii forumi mambo mengi najifunzaga humu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.