Ipi simu nzuri kati ya Infinix hot 9 au Tecno camon 15

Ipi simu nzuri kati ya Infinix hot 9 au Tecno camon 15

Sasa km wewe huelewi si utulie.kwani umeandikiwa wewe tu.au ndio wivu wa kike.JARIBU KUJUA HILI NI JUKWAA LA TECH.
Unavoongea mambo ya chip utadhani 'average end-user' ataona tofauti yoyote ya performance katika matumizi ya kawaida ya kila siku!!!

Too much knowing sometimes is sluggish!!
 
Speed katika nini? Kumtumia mtu message WhatsApp... Kupiga picha, kutuma SMS. Au speed katika simu kuwaka na kuzima?

Vitu vingine kujifanya much know tu yaani kifupi hizo tofauti za chip technology kwa watumiaji wa kawaida wa simu (ambao ndio 90% ya end-users) havina maana.

Mwisho wa siku majority of the smartphone brands available in the local market zina-satify mahitaji ya almost watumiaji wote.

Mambo ya chip bla bla labda watu wanaogeuza cm zao kama video cameras, software developers.
Tofauti rahisi kugundua ni charge
Kuna simu unachaji mara mbili kwa siku wakati nyingine mara moja
 
A
Hivi hakuna aliyetumia REDMI 8A hapa? nimeona tigo wanauza 299,000 bei ambayo ni karibu sawa na SUMSUNG A10s inayouzwa 290,000 sokoni kwa sasa.
Nimeona spec nyingi zinafanana isipokuwa kwenye battery A10S ni 4000 mAh na REDMI 8A ni 5000.
Nimetumia SUMSUNG A10s nimeona ana tabia fulani fulani za TECNO ambazo sijazipenda "camera isn't responding, do you want to close it? YES, NO, WAIT". Na kuna wakati ukifungua camera inajiclose yenyewe.
10s ni jamii ya Tecno
 
Back
Top Bottom