Recent content by Manamba IV

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tigopesa na Mpesa

    vp lain umeishauza?
  2. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Yaliyojiri Bungeni - Sugu akiburuzwa ili atoke nje ya bunge!

    atarudi livingstone lusinde asiyejua umuhimu wa katiba ila anajua kutukana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe atolewa nje ya bunge

    huyu zambi anaongea upuuzi mtupu eti haoni mtu wa kuwa rais kutoka upinzani!!wananchi ndo tutaamua na mwenyekiti wao ameishawambia waache kutegemea polisi
  4. M

    JamiiForums Tanzania nahitaji line ya tigo pesa

    angalia pm
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vocha za airtel zinagoma kuingia

    haya ndo matatizo nimejaribu kuweka inagoma matokeo yake wananitumia sms ya kuniomba msamaha huku wananiambia ninunue vocha kwa kutumia huduma lao lile linalofanana na benk,wanafikiri kila mtu anaweka pesa kwenye hayo mahuduma yao yenye makato yasioeleweka,mamlaka ziko wapi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania nahitaji line ya tigo pesa

    nimeisha kupm angalia
  7. M

    JamiiForums Tanzania nahitaji line ya tigo pesa

    ni nayo ya voda nauza bei ndogo tu sababu ya kuuzi nililetewa nyingine wakati ya mwanzo nilishapata anayehitaji ani pm au anipatie namba yake nimpe tuwasiliane
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ninauza line ya uwakala wa M-PESA fasta.

    Mi ya kwangu naouza anayeitaka aje aichukue laki mbili tu.ni ya uhakika ni pm anayehitaji
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa yombo vituka.

    nimekupigia sana mbona hupatikani?bado ipo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba Tandika/temeke-350,000 maximum.

    jamaa ana sababu zake ndo maana anataka tandika/temeke pia kama wewe unaweza kuishi masaki sio wote wanauwezo huo na kila mtu ana mipango yake
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa yombo vituka.

    kiongozi picha nitajaribu kuweka zinanishinda ila kama upo karibu unaweza kufika kuiona na cha msingi sana ni eneo zuri
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tumaini university dar es salaam wanatunyanyasa wanafunzi.

    Hawa jamaa ni magumashi makumira ndo main campus lkn ada ya makumira ni ndogo kulinganisha ya dar,kambi ya upinzani ilishamulika hichi chuo kuhusu ada ila ndo hivyo tena serikali sikivu inasikia ila haielewi,TCU mko wapi nyie si ndo wasimamizi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mume hanifikishi kisawasawa

    fanya kama unanipm namba yako miezi sita ndo inakaribia
  14. M

    JamiiForums Tanzania CCM imelaaniwa - mhadhiri

    makubwa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kufanya masters, phd ni uoga wa maisha.

    haya ngoja waje wenyewe
Back
Top Bottom