Recent content by Manala An Academician

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ombi la wazi kwa Rais samia kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege katika manispaa ya kahama mkoani Shinyanga

    Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan Kupitia kwa Mhe. Waziri wa Uchukuzi Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza Mhe. Rais kwa kazi kubwa na nzuri inayoendelea kufanyika chini ya uongozi wako thabiti. Nikiwa mwananchi na mdau wa maendeleo katika Manispaa ya Kahama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi mbili za kazi- Flydream Company Limited

    1. Utangulizi Flydream Company Limited ni kampuni ya kitanzania iliyoanzishwa mwaka 2019. Ni mujumuisho wa biashara zinazotoa huduma mbalimbali ikiwemo mafunzo ya Udereva, huduma ya ufundi Magari, Huduma za usafi na unyunyizishi wa dawa za kuua wadudu majumbani na maofisini, huduma za chakula...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi tano (05) za Afisa masoko na mauzo ya viwanja- J2 Real Estate

    1. Utangulizi J2 Real Estate inahusika na ununuzi na uuzaji wa viwanja, tathmini na urasimishaji wa ardhi. Ofisi zake ziko Goba, DSM 2. Nafasi za kazi Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu katika kazi za mauzo na masoko wa miradi ya viwanja kuchangamkia nafasi hizi. Sifa -Uwezo mzuri...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi tano (05) za Afisa masoko na mauzo wa viwanja- J2 Real Estate

    1. Utangulizi J2 Real Estate inahusika na uuzaji wa viwanja vya makazi na biashara. Ofisi zake ziko Goba, DSM 2. Nafasi za kazi Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu wa mauzo na masoko katika miradi ya viwanja na mashamba kuomba nafasi husika. Sifa -Uwezo mzuri wa kuongea na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi tano (05) za Afisa masoko na mauzo wa viwanja- J2 Real Estate

    1. Utangulizi J2 Real Estate inahusika na utoaji wa mafunzo ya udereva, uuzaji wa viwanja, huduma za usafi na upulizaji wa dawa. Ofisi zake ziko Goba, DSM 2. Nafasi za kazi Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu nafasi za afisa mauzo na masoko wa miradi ya viwanja, mashamba na nyumba...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi ya Afisa mauzo na mapokezi

    - Essence Driving Schools Afisa masoko (01) na afisa huduma kwa- wateja (01) shule ya udereva anahitajika Sifa 1. Uwezo wa kuongea/ushawishi vizuri sana na wateja 2. Uwezo wakufanya kazi yenye matokeo 3. Uelewa zaidi katika kutafuta wateja kwa- njia ya mitandao ya kijamii 4. Muonekano...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Graphics designer anahitajika haraka

    Sifa Uwezo wa kuandaa matangazo ya video, animations, posters, banners, n.k Moyo wa kufanya kazi ya kujitolea Kituo cha kazi itakuwa Goba, Dar Es Salaam Hata akitaka kufanyiakazi nyumbani kwake/kazini kwake ili Mradi malengo ya kampuni yatimizwe kwa- wakati Mshahara ni TZS 300,000 kwa- mwezi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Graphics designer mwenye uzoefu na masoko anahitaji haraka

    Utangulizi Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya: Sifa 1. Uwezo wa kutumia computer...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi - Flydream Company Limited

    1. Utangulizi Kampuni ya Flydream Company Limited inashughulika na utoaji wa mafunzo ya udereva, uuzaji wa viwanja, huduma za usafi na upulizaji wa dawa. Ofisi zake ziko Goba, DSM 2. Nafasi za kazi Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu nafasi za afisa mauzo na masoko wa miradi ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa graphics na video production anahitaji

    Utangulizi Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya: Sifa 1. Uwezo wa kutumia computer...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Afisa Masoko wa kampuni ya Usafi na viuwa wadudu

    Flydream Company Ltd ni kampuni iliyosajiliwa na BRELA kwaajili yakutoa huduma mbalimbali kupitia biashara zilizo chini yake. Kwasasa inawatangazia watu wote wenye sifa za kuomba nafasi zifuatazo kupitia kampuni tanzu ya Real Vision Cleaning & Fumigation services yenye ofisi zako Mabibo, jijini...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Starlet Glanza

    Kama bado iko naomba nicheck kwa- 0765374146
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Mauzo na Masoko (Sales and Marketing)

    Kama bado hujapata kazi tuwasiliane kwa- 0765374146
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za madalali wa nyumba, vyumba na flemu za biashara Dar es Salaam

    P2 Real Estate inajishughulisha na ununuaji na uuzaji wa viwanja, mashamba, nyumba katika mikoa ya Tanzania Bara, aidha, kampuni pia unajisikia na upangishaji wa nyumba, vyumba pamoja na flemu za biashara kwa- Dar Es Salaam ili kuwarahisishia usumbufu wateja wetu. Ili kufikia malengo...
Back
Top Bottom