Jaman mtu aloahilisha mwaka akaandika na barua ya kusitisha mkopo wake akitaka arudishiwe coz anataka kuendelea na shule anafata procedure gan???
Help plz!!!!
Tushawachoka nyie TDFA yan mnakua ka'hamjielew!!! mlikua wap kutoa taarifa hiyo toka mapema coz kuna mass media kibao na watu wameanza kutumia mafuta hayo toka kitambo san.. mnasubir mpaka sabasaba!! Achen izo na ifikie stage mjitambue.. AU mna sababu zenu zngne mnakua mnasubir mpaka watu...
Imenishangaza sana serikali ya namna hii, yani inashindwa kuwapa wanafunz loan wasome eti wanasema kwamba serikali haina hela!!!, af wanapat hela za kuwalipa DOWANS na RICHMOND!!!!!!!!! Hiv kweli serikali hiii iliyo na rasilimali nyingi namna hii inashindwa kuwasomesha wanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.