Mama yangu mzazi alinipenda sana na akawa anaongea na mimi muda mwingi na kuniombea sana. Leo pesa zimeisha hata nikipiga simu wanapewa watoto wa marehemu dada yangu waongee (shikamo mama.... jibu; ongea na wajomba zako mimi sina cha kuongea na wewe). nikienda kijijini hata chakula wakiivisha...
Tunajenga tabia na kisha tabia zinatujenga na kutufikisha kusikofaa, tunapaswa kufahamu tamaa za kimwili au rasilimali fedha na nyinginezo hazina Ukomo. Madhila ya kuendekeza hizi tamaa za ajabu ajabu ni makubwa mno pengine yanaweza kudumaza ustawi na hata kuharibu mustakabali wa ndoa zetu...
Ni wazi katiba yetu imetoa uhuru wa kuabudu na uvumilivu miongoni mwa waamini wa dini na madhehebu yake kwa lengo jema na nia safi. Viongozi wa dini na waumini kwa imani zao wamepewa uhuru huu.
Sina nia mbaya lakini hili limenigusa kama Mtanzania ninayependa ustawi wa watanzania na taifa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.