Recent content by Man Eric

  1. Man Eric

    JamiiForums Tanzania Kwanini ulaji wa Mbs kwenye Laptop au desktop huwa ni mkubwa tofauti na ukitumia simu?

    Mi najua kama umeweka automatic updates za window.
  2. Man Eric

    JamiiForums Tanzania Wanaotumia GB WhatsApp kufungiwa (kupigwa ban)

    Ilinikuta
  3. Man Eric

    JamiiForums Tanzania Nimefika Katavi na kujionea jinsi watu wanavyotajirika kupitia Kilimo

    Ni kweli. Unaweza kujisemesha kuwa umechelewa. Kwa sasa vijiji hasa Mwese wilaya ya Tanganyika, naona kuna uwekezaji mkubwa wa parachichi. Na hali ya hewa inasapoti vizuri zao hilo.
  4. Man Eric

    JamiiForums Tanzania Msaada Namna ya kuweka nyimbo ktk Iphone 6s

    Kwa nini usitoe hapa maelekezo kwa faida ya wengi?
  5. Man Eric

    JamiiForums Tanzania Nipeni iPhone 6+ 16GB

    Duh!
  6. Man Eric

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu ikiita, nataka kuendelea na nilichokua nafanya bila kukata

    TECNO W4 ina io kitu...
  7. Man Eric

    JamiiForums Tanzania Tushare app za live TV katka smartphone

    Azam two na azam hd zina giza. Wanasema tatizo wanaijua na wanarekebisha!
  8. Man Eric

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

    Rutuba imeisha na pia mabadiliko ya sura ya nchi. Jua pia Ug hutumia sana mazao yenye GMO.
  9. Man Eric

    JamiiForums Tanzania Ongeza Spidi katika Smartphone/Tablet Yako

    Tanx. Simu yangu sasa imefumuka...
  10. Man Eric

    JamiiForums Tanzania Msaada tecno W4 nikiwasha data inakua slow sana

    Ni vizuri mtu anapoomba msaada, tumsaidie. Sio kuonyesha majigambo! Kama huna utaalam, basi pita njia.
  11. Man Eric

    JamiiForums Tanzania Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

    thanx, shatupia
  12. Man Eric

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

    Kama haupo mbali na Mbeya, tembelea Rungwe Avocado Company. Ni kampuni inayozalisha maparachichi na miche ya hass avocado kwa kufuata kanuni za kilimo endelevu na huuzwa masoko ya ulaya. kuna wakulima kama 4000 ambao huzalisha kwa mkataba na hii kampuni. miche huuzwa sh 3500/, ekari moja kwa...
  13. Man Eric

    JamiiForums Tanzania Download Speed: Shkamoo Halotel

    Halotel ni mkombozi. Huko vijijini kulikokuwa hakushiki mtandao wowote, halotel ipo. Maeneo ya Mbeya vijijini, Ileje na Chunya huwaambii kitu halafu net huko inasoma +H
  14. Man Eric

    JamiiForums Tanzania AZAM DECODER NA LOCAL CHANNELS

    Mpira wa uingereza bure?
  15. Man Eric

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WADADA: "Tunawapiga Pesa, alafu X.Mas Na Mwaka Mpya Tunavaa Ped"

    Aiisee. Kweli inabidi kuwa makini.
Back
Top Bottom