Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

Usiteseke bure........
Download Poweramp unlocker
HAPA

N.B
1-kumbuka kudownload poweramp trial version kutoka play store ndo uinstall hii unlocker yake
2-Haiitaji kuroot simu yako usihangaike
Anza kula midundo mwanaJF
Nlifwata izo njia ilikubali ila nlizma nakutaka tumia tena inagoma.
Je ni kwangu tu au ni kw wote?
 
Natangulia kusema hii ni kwa wenye simu ambazo zipo ROOTED
Kama simu yako umeshai ROOT
UPDATED:
KWANZA: Dawnload luck patcher hapa LUCKY PATCHER
PILI: Dawnload busybox hapa BUSYBOX

Haya sasa twende hatua kwa hatua
1. Dawnload poweramp trial kutoka playstore kisha ifungue nenda kwenye setting utaona hivi
4653c6afcc2cc295fdf52c75c5a70b6f.jpg

2.Fungua Lucky patcher na utaiona poweramp ikiwa na huu ujumbe
81d761b99cfff89725386dd92453519d.jpg

3.ukiwa kwenye lucky patcher Iguse kwa sekunde kadhaa hiyo poweramp hadi uone hii menu imetokea chagua custom patch
de7a02879473e051e02cb10d97efab41.jpg

4. Baada ya kuchagua custompatch vitatokea vipengele vitatu chagua kipengele cha tatu.
21ec38b0951513066f5627c31fc687e0.jpg

5. Yatakuja maelekezo kwa rangi ya njano ambayo tulisha yafanyia kazi hatua ya 1.
Wewe utachagua Apply
e2bbb73ba98bd900e79ae74cdfbd2b2b.jpg

6.Subiri hadi lucky patcher imalize kuichakachua hiyo poweramp. Itakapo maliza utaona maandishi ya kijani utachagua Launch
61002eeaa995e3244c5a00ad2af9aec8.jpg

7. Poweramp itafunguka nenda kwenye kipengele cha setting angalia kama imekuwa verified.
2a470f3a094e982d8f12e1fdf3b68cdf.jpg
.
8.Enjoy poweramp
thanx, shatupia
 
Usiteseke bure........
Download Poweramp unlocker
HAPA

N.B
1-kumbuka kudownload poweramp trial version kutoka play store ndo uinstall hii unlocker yake
2-Haiitaji kuroot simu yako usihangaike
Anza kula midundo mwanaJF
Ahsante Mkuu naifaidi kinyama [emoji3]
 
Natangulia kusema hii ni kwa wenye simu ambazo zipo ROOTED
Kama simu yako umeshai ROOT
UPDATED:
KWANZA: Dawnload luck patcher hapa LUCKY PATCHER
PILI: Dawnload busybox hapa BUSYBOX

Haya sasa twende hatua kwa hatua
1. Dawnload poweramp trial kutoka playstore kisha ifungue nenda kwenye setting utaona hivi
4653c6afcc2cc295fdf52c75c5a70b6f.jpg

2.Fungua Lucky patcher na utaiona poweramp ikiwa na huu ujumbe
81d761b99cfff89725386dd92453519d.jpg

3.ukiwa kwenye lucky patcher Iguse kwa sekunde kadhaa hiyo poweramp hadi uone hii menu imetokea chagua custom patch
de7a02879473e051e02cb10d97efab41.jpg

4. Baada ya kuchagua custompatch vitatokea vipengele vitatu chagua kipengele cha tatu.
21ec38b0951513066f5627c31fc687e0.jpg

5. Yatakuja maelekezo kwa rangi ya njano ambayo tulisha yafanyia kazi hatua ya 1.
Wewe utachagua Apply
e2bbb73ba98bd900e79ae74cdfbd2b2b.jpg

6.Subiri hadi lucky patcher imalize kuichakachua hiyo poweramp. Itakapo maliza utaona maandishi ya kijani utachagua Launch
61002eeaa995e3244c5a00ad2af9aec8.jpg

7. Poweramp itafunguka nenda kwenye kipengele cha setting angalia kama imekuwa verified.
2a470f3a094e982d8f12e1fdf3b68cdf.jpg
.
8.Enjoy poweramp
Jamani kuna app inauzwa nimeidownload kama wiki moja hv imepita, sasa hv imejifunga inataka niweke vadilization code of purchasing coz niliyokuwa natumia ni trial

NAOMBA MNISAIDIE NJIA YA KUICHAKACHUA KUONDOA HIYO VALIDATION CODE

APP INAITWA eWeather HD
 
Jamani kuna app inauzwa nimeidownload kama wiki moja hv imepita, sasa hv imejifunga inataka niweke vadilization code of purchasing coz niliyokuwa natumia ni trial

NAOMBA MNISAIDIE NJIA YA KUICHAKACHUA KUONDOA HIYO VALIDATION CODE
HIYO APP INAITWA eWeather HD
 
Hata mimi nimefanikiwa
[quote uid=310104 name="MZALENDO NO.1" post=17152600]Jamani kuna app inauzwa nimeidownload kama wiki moja hv imepita, sasa hv imejifunga inataka niweke vadilization code of purchasing coz niliyokuwa natumia ni trial<br /><br /><br />NAOMBA MNISAIDIE NJIA YA KUICHAKACHUA KUONDOA HIYO VALIDATION CODE[/QUOTE]<br />HIYO APP INAITWA eWeather HD
 
Nampenda sana kumwacha nashindwa.
........habari za majukumu wana jf
Naombeni ushauri wenu wapendwa Nina mpenzi ambaye kwa sasa tuna miez sita mwanzo alionyesha kunipenda na kunijali sana na kunishirikisha mambo yake mengi sana na alipanga mwezi huu aje nyumban kujitambulisha na baadh ya ndgu zangu wanamfaham na ndgu zake wengi wananifaham, lkn kwa sasa naona kama amebadirika simu yake hataki niiguse nikishika anakuwa mkali na mda mwingine tukiwa wote anaenda kuongea na sm nje na ukimuuliza kwann anafanya hvo anaongea na nan anakuwa mkal lkn mm simu yangu anaichukua na kuipekua na sasa tumegombana hatuna maelewano kbsa hta mawasiliano yamepungua .
Je nifanye nn naombeni ushauri wenu.
 
Chaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom