Msaada Namna ya kuweka nyimbo ktk Iphone 6s

Chrix_Tz

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
880
1,098
Hello guys habari zenu..... naombeni msaada kwa wenye utalaam wa namna ya kuweka nyimbo ktk i phone ili niweze ku-enjoy pia kwa kusikiliza music bila kustream kw internet....
 
Namim nahitaji kusoma documents kwenye iPhone imekuwa ngumu Sijui nafanyaje wadau??
 
Shukrani kwa wote mlionipa ushauri wenu.... en suala nimeshatatua.... so thanks wanajamvi wote wa JF...
 
Tafuta itune 64 bit download katika pc kisha install,hapo utaweza kuingiza nyimbo humo katika iphone yako.maelezo kwa vitendo zaidi ingia youtube.

Au install document kama computer ni tatizo-namna ya kutumia ingia youtube utaelewa zaidi.
 
Njoo pm nikulekeze njia rahisi mnoo...huhitaji hata itunes, ila uwe na computer
 
Back
Top Bottom