Recent content by man culture

  1. M

    JamiiForums Tanzania Umeondoka tukiwa bado tunakuhitaji mno!

    pole sana bila shaka baba yako mdogo atakuwa ni yule traffic police,hata jana mchana nilimuona maeneo ya boko ryner park ila jion nikasikia kuwa amefarik huko mapinga,dah kwa kweli imetuhuzunisha sana,tupo pamoja ktk kipindi hiki kigumu.RIP PLEI
  2. M

    JamiiForums Tanzania Fifa under 20 ghana vs france

    leo saa kumi na mbili jioni
  3. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi nipo kinondoni dsm nataka kuhamia mtwara,songea au lindi pamoja na iringa au mbeya
  4. M

    JamiiForums Tanzania nampenda H.MDEE jamani !

    vp nikupe no yake ya cm nn?
  5. M

    JamiiForums Tanzania maji maji ukeni

    kula mzigo acha longolongo mashine kavu nazo zina madhara mwana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mwigulu ana mazuri yake!

    Ccm ndio wanamfanya aonekane punga kwani anajaribu kuitetea hata pasipo na ukweli ili alinde kula yake
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimejiunga na mtandao mkubwa wa jamii forums

    hivi watendaji wa manispaa ya kinondoni mna tatizo gani?mbona mmeshindwa kubadili madaraja ya walimu toka 2012 pamoja na kutoa barua za aina mbili zisizo na tija,subirini dawa yenu ipo jikoni na muda wowote mtaipokea
Back
Top Bottom