Kumbe Mwigulu ana mazuri yake!

Kumbe Mwigulu ana mazuri yake!

Sawa Mwigulu watandike kotekote hakuna kusimama wala Kukaa.
 
Ccm ndio wanamfanya aonekane punga kwani anajaribu kuitetea hata pasipo na ukweli ili alinde kula yake
 
Nilikuwa siamini macho yangu kumuona Mwigulu Nchemba akisakata kabumbu akiwa amevaa jezi ya Yanga No. 10. Amecheza vizuri sana, laiti angekuwa anafanya siasa vizuri kama anavyocheza kandanda, wala asingekuwa Monsterized!
Hivi yule aliyevaa jezi namba 4 kwa yanga ni nani...??
 
Nilheshmu v uhuru wake kama binadamu mwingine na kuwa pale walikuwa hawako kivyama.... otherwise Mwigulu na Zambi ningewavua zile jezi na kuwavisha za watani..
 
Nilitamani sana kuwaona Mwigulu, Mbowe, Dr Slaa, JK wote wawe wamevaa jezi ya yanga.
 
Kikwete akiwa amevalia tracksuit, alitaka kuchezesha mechi hiyo, lakini alipowaambia watu wasio wachezaji watoke uwanjani ili aanzishe game, walinzi wake waligoma kutoka uwanjani, ikambidi apulize firimbi kisha kumpa firimbi hiyo refa kisha mwenyewe akatoka na walinzi wake!
Joshua Nassari, alivalia No. 10 ya Simba aliingia mwishoni mwa kipindi cha pili akitokea bench, pamoja na kuwa ametokea Hospitali, alikuwa na kasi ya ajabu, ilikuwa apige penalti ya 5, lakini Mh Abood Bus alipokosa penalti, Simba ikawa imeshashindwa! Ilikuwa ni burudani ya aina yake!
 
mtoto wa mdogo wangu alikufa kwenye bomu soweto na Mwigulu ndo amevaa kofia ya mahali bomu lilipotengenezwa nime connect i hate him zaidi ya shetani nae pia ajipange silali kabisa.......

laiti kama ningepata nafac nami yakucheza nadhani ningemgeuza kuwa asusa
 
Nimemuona arusha jioni hii yeye na timu yake, mtela mwempamba na wengine.. sijui wana mision gani hapa
 
Mwigulu ni mchezji mzuri akipata mazoezi, sikuelewa mtu na akili timamu ilikuwaje alitaka kucheza na skafu, lakn nilishasema hapa kwa jinsi ninavyochukia Yanga hata MACHUNGWA HUWA SILI, sasa ukichanganya na Mwigulu...........lahaulaaaaaa
 
Damu iliyomwagwa SOWETO na Mwigulu Nchemba siwezi kusahaulishwa na chochote kile duniani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Naichukia ccm kiasi kwamba nataka toa dam yote nianze tumia ulanzi mwilini mwangu
Mwigulu ni mchezji mzuri akipata mazoezi, sikuelewa mtu na akili timamu ilikuwaje alitaka kucheza na skafu, lakn nilishasema hapa kwa jinsi ninavyochukia Yanga hata MACHUNGWA HUWA SILI, sasa ukichanganya na Mwigulu...........lahaulaaaaaa
 
Back
Top Bottom