nampenda H.MDEE jamani !

nampenda H.MDEE jamani !

Huna mademo !! Why ujiite mr lover lover!!
 
mwanaume mwenye pesa hazaliwi anatengenezwa cynthia chriss.karne hii unafikiri mwanaume unayemtaka utampata tafuta alafu mjenge unavyo taka.la sivyo utapata wa kupritend anapesa mwisho wa siku kumbe za baba.shauri yako.kama halima ni shosti wako nikimpata atakwambia kwangu han'goki.
Khaa!! hamna kitu. Wewe unatamani lile shangingi na mavuno ya bungeni. Ni kama wewe ndiyo unataka kuolewa . Mbona mtaani wapo wengi tu aina yake? :bored:
 
you are not serious kumuanika humu si vizuri, nakuona kama hujiamini vile maana kama wewe ni mwanaume kweli halima anapatikana sehemu zinazojulikana. ukienda bungeni utamkuta kajaa tele, hopfully ukimtafuta hata anapoinshi utampata tu. halima si mwanamke mwenye maringo I hope atakusikiliza. ila angalizo. halima ni vigumu kutokuwa na mchumba wake. kwa hiyo usiende kwake kwa vile ana pesa laaaaa atakufukuza kama mbwa mwizi.
 
you are not serious kumuanika humu si vizuri, nakuona kama hujiamini vile maana kama wewe ni mwanaume kweli halima anapatikana sehemu zinazojulikana. ukienda bungeni utamkuta kajaa tele, hopfully ukimtafuta hata anapoinshi utampata tu. halima si mwanamke mwenye maringo I hope atakusikiliza. ila angalizo. halima ni vigumu kutokuwa na mchumba wake. kwa hiyo usiende kwake kwa vile ana pesa laaaaa atakufukuza kama mbwa mwizi.

Kwani bwana ake na mimi nani anampenda zaidi,i dont care about money or so called mpenzi wake,kama anampenda angemuoa basi.by the way thanks for advice.
 
Duh,mdahalo mzito,yetu macho.
Mapenzi hayaangalii Elimu,ila kwa yule mdada lazima kidogo shule iwepo ili uweze kujua majukum yake na pia kumsaidia.
Ila jamani mie nitatoa zawadi ya Bajaji kama mtu akinitumia Picha ya Halima mdee akiwa mjamzito.Sipati picha

Halafu mi naona kama ukimfuata lazima akuombe CV yako ya maisha mpaka ulipofikia,mtoto wa mjini yule.

Ukishindwa Nenda Bungeni pale kuna Mbunge Professor Maji marefu huyu ni mtaalam wa mambo yetu yale,sasa itakuwa rahisi kukupigia mwiba mpaka ukampata,maana kama ni kumwagia dawa mlango yeye yupo mlemle.

Jamani mie pia nitajinyonga kwa Jenista Mhagama,maana shepu ile na sie wamanyema mmmmhhh haya nakula kwa macho.Sauti yake ile oohhh mashallaah kaa mtoto anadeka.

Jasmine Kairuki ndio balaa pia,figure tata,Sauti fulanii hiv ya pozz kama kthe cha kiaina utampenda akionge ila sikulazimishi

Jamani TCRA haya ni mawazo yetu tu humu msije mkatuwekea mitego mkatuweka Jela

Maana unaweza kukuta wewe unaempenda Halima Mdee anakupigia sim,aisee mie nipo tu sasa inakuwaje,mara unajipeleka,jela hiyoo.
Ila mie kwa Jenista ikipigwa sim naenda,maana najua watu kama wale huwa wanahuruma,ipo siku ataniombea nitoke jela.
Mtambo mwingine Jasmine Kairuki nibalaa,yaani mungu kaumba,mie napenda figure yake na akiwa anaongea utampenda.

Zaidi utasikia kila mmoja kaolewa na msomi,hapo ndio nachoka sasa

Halafu ADMIN anatuchora tu hapa akiona tunazidi mara ubao unasoma Topic closed.


Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom