Alafu wewe unafikiri kwa makalio. CDM ina watu wanaomiliki helikopter. Ila kwakuwa wewe ni mchumia tumbo huwezi kuwa na fikra wala umakini wa cdm peoplessssssssssssssss!!!!!! Sasa tunatoa helikopter nyingi tu kazi ifanyike,na huu ndio wajibu halali wa chama chochote cha kisiasa.
Sisi ndio tuliotoa na tunaendelea kutoa ili zitumike helikopta zingine. Ninyi mafisadi wa kiccm ccm mmefilisi nchi na hamtaki watu waelimishwe. SASA kimenuka kila kona!
Sasa hao wasomi wa kiccm ccm wameifanyia nini nchi hii zaidi nya kujilimbikizia mali?
Je walioichagua ccm miaka yote ni wasomi?
Acha upambafu pambafu!!!!!!!!!!!!!!!
Wewe ni fisadi kama mafisadi wengine,tena naona ni fisadi papa! Wanaoua ni polisi na ndio maana polisi wa Iringa amefukuzwa kazi na kufunguliwa kesi ya kuua tena kwa kukusudia,kama walioua ni cdm ninyi si mna dola si muwakamate na kuwafunfulia mashitaka. "Freedom is comming tommorrow only time...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.